Kombe la Shirikisho Barani Afrika 'CAF' Azam FC dhidi ya Triangle United, Wazimbabwe Lazima Wakae!

Kombe la Shirikisho Barani Afrika 'CAF' Azam FC dhidi ya Triangle United, Wazimbabwe Lazima Wakae!

Azam FC, mchezaji Nado anajaribu kupenya ngome ya Triangle, lakini anafanyiwa faulo.....Inapigwa, wanaokoa
 
45+3'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Azam Complex

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko Azam FC wakitanguliwa kwa bao moja

Azam FC 0-1 Triangle FC
 
Kimataifa watabaki walewale wa Kimataifa Original
 
Timu zinaingia uwanjani kukamilisha dakika 45 za mwisho!

Azam FC wakizidisha utulivu huenda wakasawazisha
 
48' Azam FC wameanza kwa kasi huku wakipata kona mbili mfululizo ambazo hazikuleta matokeo
 
53' Nado anajaza mpira lango Triangle, golikipa anaruka na kupangua ile hatari..wakati huo huo amelala chini baada ya kupata rabsha
 
55' Mabadiliko Azam FC, anatoka Djodi anaingia Shaban Chilunda
 
Triangle wanaonekana kupoza mpira, kitu ambacho kitaleta faida kwao.
 
61' Azam wanapata faulo, Bruce Kangwa anapigaaaaaa, lakini beki anaokoa na kuwa kona.

Konaaaa inaokolewa
 
70' Nadoooooo, ilikuwa hatari kweli kweli alijaribu kupiga shuti kali ambalo limetoka sentimita chache...ilikuwa nafasi bomba kwa Azam FC
 
72' free kick kuelekea Azam FC, anakwenda kupiga Bruce Kangwa

Anapigaaaaaa nje nje nje..!
 
Back
Top Bottom