Azam kona 6 triangle 0Azam nataka itolewe ibaki Yanga tu kwenye mechi za kimataifa, azam iungane na ndugu zake simba kwenye ligi ya nyumbani
Duh wamepigwa hawa watoto!!
Dah kweli nchi hii bila simba, hakuna kinachofanyika.
Wekundu wa msimbazi ya hapo daslam.Simba ipi?
Exactly, wale wale walifika robo fainali msimu uliopita Simba SC