Ila mashabiki wa Simba sio Bure aisee, mnahitaji maombi Sana
Nyie mwaka Jana mlishiriki hili kombe na mlikuwa mnajisifu mnoooo. Kipindi cha goli bora mkatoa mchezaji kwenye kugombea hakuna aliyejitokeza kusema hii ni ligi ya maluza.
Anyways tuachane na uzezeta wenu huo turudi kwenye bandiko lako. Wewe Nani kakwambia kwenye futbolu Kuna hesabu za cross multiplication?
Yaani una hangaika weeeee ku equetisha vipers na Washindi wa Mara kundi hili Mara lile, hivi tukifuata hizo cross multiplication zako Kati ya Simba na Yanga Nani mnyonge? Nani anaongoza ligi ya Tz ambao wote wanashiriki? Nani kafungwa mfululizo kwa michezo 5 iliyopita?
Jomba kuwa mshabiki wa makolo sio tiketi ya kuwa mbumbumbu jamaa, unaweza kabisa kutumia akili yako ukiamua