Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Kombe la shirikisho hakuna timu ya kuifunga Vipers

Kwanini twende mbali huko kwa Vipers, nyinyi makolo tunawatandika muda wowote tukitaka. Hata mkiamua mechi ichezwe sebuleni kwa Mo.

Kama una uchungu, zaa!
 
Hapo kuna timu ipo Klabu Bingwa na Moja ipo Shirikisho, na inavosemekana wapo kwenye ligi moja na kuna timu hapo imezidiwa point 8.
20220901_002923.jpg
 
Yaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)...
Huo mwaka "mnawaazimisha" UTO wachezaji nyinyi mlikuwa katika mashindano gani?
 
Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu...
Simba hajawahi kulidharau hilo kombe bali simba tuna fuata maneno ya msemaji wenu aliye liita kombe la maruza na vilaza.

Kwa hiyo yanga anashiriki kombe la vilaza kwa mujibu wa msemaji wenu.
 
Hakuna wa kumfunga Vipers ila yupo Mwamba wa kudumu Yanga, anaye mtandika Simba Kila anavyo jisikia.
Akimtandika Simba Kwa miaka mingi kuliko timu yoyote Duniani.
Mbumbumbu fc kibonde wa Dar Young Africa wakudumu, Ukibisha uwe na Sababu[emoji2][emoji2].
Utopolo nguvu unapata wapi [emoji196] ikiwa haya maumivu bado unayo moyoni.
JamiiForums-2123337428.jpg
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
simba haina shida na utopoloo kwenda robo tena kombe la losers, ilishafanya sanaaa, tena km kuongoza kundi sio habari mpyaaa kabisaa, simba iliongoza kundi kukiwa na waarabu wawili tena akiwemo Al Ahly. Na ilikua CL sio kombe LA losers.


emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
mje na jipyaaa, simba ilishafanya zaman sanaa.
Ndio maana tunasema akilini zenu ziko huko nyuma. Kufanya sana ndio nini?. Majigambo yasiyo na chochote. Kama ni kucheza club bingwa Africa na shirikisho nani hajacheza we mbwiga? Niambie nani hajacheza?. Mimi nilifikiri unakuja na idadi ya makombe ya shirikisho mliyochukua?. Kumbe siasa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba haina shida na utopoloo kwenda robo tena kombe la losers, ilishafanya sanaaa, tena km kuongoza kundi sio habari mpyaaa kabisaa, simba iliongoza kundi kukiwa na waarabu wawili tena akiwemo Al Ahly. Na ilikua CL sio kombe LA losers.


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mje na jipyaaa, simba ilishafanya zaman sanaa.
 
Ndio maana tunasema akilini zenu ziko huko nyuma. Kufanya sana ndio nini?. Majigambo yasiyo na chochote. Kama ni kucheza club bingwa Africa na shirikisho nani hajacheza we mbwiga? Niambie nani hajacheza?. Mimi nilifikiri unakuja na idadi ya makombe ya shirikisho mliyochukua?. Kumbe siasa tu
Wee hayo makombee unayooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmevurugwaaa vibayaa mnoooo, poleeeeeeeeeh.
 
Cafcl hakuna timu ya kuifunga Real Bamako[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila mashabiki wa Simba sio Bure aisee, mnahitaji maombi Sana

Nyie mwaka Jana mlishiriki hili kombe na mlikuwa mnajisifu mnoooo. Kipindi cha goli bora mkatoa mchezaji kwenye kugombea hakuna aliyejitokeza kusema hii ni ligi ya maluza.

Anyways tuachane na uzezeta wenu huo turudi kwenye bandiko lako. Wewe Nani kakwambia kwenye futbolu Kuna hesabu za cross multiplication?

Yaani una hangaika weeeee ku equetisha vipers na Washindi wa Mara kundi hili Mara lile, hivi tukifuata hizo cross multiplication zako Kati ya Simba na Yanga Nani mnyonge? Nani anaongoza ligi ya Tz ambao wote wanashiriki? Nani kafungwa mfululizo kwa michezo 5 iliyopita?

Jomba kuwa mshabiki wa makolo sio tiketi ya kuwa mbumbumbu jamaa, unaweza kabisa kutumia akili yako ukiamua
 
Simba anacheza klabu bingwa africa(narudia klabu bingwa africa)na atacheza super cup na wakubwa wenzake...ila sasa yanga afirika yeye yupo na kina malumo sjui???sasa timu inaitwa malumo kweli jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...haya wananchi endeleeni kujitandikia vibonde huko kina malumo
 
Maumivu yakizidi kalia wembeeee😂😂😂😂
 
Hapo kuna timu ipo Klabu Bingwa na Moja ipo Shirikisho, na inavosemekana wapo kwenye ligi moja na kuna timu hapo imezidiwa point 8.View attachment 2558897
Kuzidi pointi 8 hoja?Hata Arsenal anaongoza kwa pointi 8 lakini bado ni vibonde tu.
Mafanikio ya mwaka 1 kwenye Losers Cup ndio mnatamba.
Simba wakicheza losers Cup ni kufeli.Ndani ya miaka 6 Champions League robo fainali 3 .Ukiweza at least kuwa regular timu kwenye makundi rudi hapa utambe.
Mara ya mwisho makundi Champions league 1998 na mkamaliza na pointi 2.
 
Yanga wametumia shortcut ya mafanikio kwa kuihamisha AS Vita kutoka ligi ya DRC hadi Tanzania. Simba wametumia njia ngumu kufika hapa walipo.
 
Back
Top Bottom