Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Siyo muhimu wakati maumivu yanauwa..!!?? Utakufa wima huku hujafumba mdomo ..!! 😂 😂😂SIO MAUMIVU HUO NDIO UKWELI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo muhimu wakati maumivu yanauwa..!!?? Utakufa wima huku hujafumba mdomo ..!! 😂 😂😂SIO MAUMIVU HUO NDIO UKWELI.
Halafu Yanga anawagonga makolo anavyotakaSalaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu...
Huo mwaka "mnawaazimisha" UTO wachezaji nyinyi mlikuwa katika mashindano gani?Yaani tuwe robo fainali ya CAFCL halafu tumuonee gere Uto aliyefuzu CAFCC na kuweka historia jana baada ya miaka buku tangu Uto wawepo duniani (historia ambayo sisi tulishaiweka kitambo na tumeshasahau)...
Simba hajawahi kulidharau hilo kombe bali simba tuna fuata maneno ya msemaji wenu aliye liita kombe la maruza na vilaza.Hili kombe mnaliponda ila ndio lilotoa thamani yenu kutokana na kupania kwenu mpaka mkaamua kulidhalilisha taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja,tena kwenye nchi ya watu...
Utopolo nguvu unapata wapi [emoji196] ikiwa haya maumivu bado unayo moyoni.Hakuna wa kumfunga Vipers ila yupo Mwamba wa kudumu Yanga, anaye mtandika Simba Kila anavyo jisikia.
Akimtandika Simba Kwa miaka mingi kuliko timu yoyote Duniani.
Mbumbumbu fc kibonde wa Dar Young Africa wakudumu, Ukibisha uwe na Sababu[emoji2][emoji2].
Ndio maana tunasema akilini zenu ziko huko nyuma. Kufanya sana ndio nini?. Majigambo yasiyo na chochote. Kama ni kucheza club bingwa Africa na shirikisho nani hajacheza we mbwiga? Niambie nani hajacheza?. Mimi nilifikiri unakuja na idadi ya makombe ya shirikisho mliyochukua?. Kumbe siasa tu![]()
![]()
![]()
![]()
simba haina shida na utopoloo kwenda robo tena kombe la losers, ilishafanya sanaaa, tena km kuongoza kundi sio habari mpyaaa kabisaa, simba iliongoza kundi kukiwa na waarabu wawili tena akiwemo Al Ahly. Na ilikua CL sio kombe LA losers.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mje na jipyaaa, simba ilishafanya zaman sanaa.![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba haina shida na utopoloo kwenda robo tena kombe la losers, ilishafanya sanaaa, tena km kuongoza kundi sio habari mpyaaa kabisaa, simba iliongoza kundi kukiwa na waarabu wawili tena akiwemo Al Ahly. Na ilikua CL sio kombe LA losers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mje na jipyaaa, simba ilishafanya zaman sanaa.
Wee hayo makombee unayooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana tunasema akilini zenu ziko huko nyuma. Kufanya sana ndio nini?. Majigambo yasiyo na chochote. Kama ni kucheza club bingwa Africa na shirikisho nani hajacheza we mbwiga? Niambie nani hajacheza?. Mimi nilifikiri unakuja na idadi ya makombe ya shirikisho mliyochukua?. Kumbe siasa tu
😆🤣🤸Utopolo nguvu unapata wapi [emoji196] ikiwa haya maumivu bado unayo moyoni.View attachment 2558916
Kuzidi pointi 8 hoja?Hata Arsenal anaongoza kwa pointi 8 lakini bado ni vibonde tu.Hapo kuna timu ipo Klabu Bingwa na Moja ipo Shirikisho, na inavosemekana wapo kwenye ligi moja na kuna timu hapo imezidiwa point 8.View attachment 2558897