Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Ama kweli kule Utopoloni wenye akili ni wawili tu, mi nimekashangaa hako karaia kameokoteza fake news eti ya mwaka 1939, hakajui mwaka huo hakukuwa na timu inaitwa Simba.Dah mpo desperate kweli Simba ilikuwepo na jina hilo hilo 1939?Au feki zenu kama mikataba ya wachezaji wenu?
Yanga alivyo toka kufungwa na Vipers alikufanyaje?Simba anacheza klabu bingwa africa(narudia klabu bingwa africa)na atacheza super cup na wakubwa wenzake...ila sasa yanga afirika yeye yupo na kina malumo sjui???sasa timu inaitwa malumo kweli jamani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...haya wananchi endeleeni kujitandikia vibonde huko kina malumo
Wanao shiriki CAF super cup ni timu mbili tu pekee ambazo watabeba kombe la shirikisho na kombe la klabu bingwa. Watakaobeba makombe ya CAF interclub ndio watakaocheza CAF super cup kwaajili ya kufungua pazia la CAF interclub msimu ujaoKwani mi nimebisha hapo?haya taja timu zitazoshiriki hiyo super cup
Pumba tuWanao shiriki CAF super cup ni timu mbili tu pekee ambazo watabeba kombe la shirikisho na kombe la klabu bingwa. Watakaobeba makombe ya CAF interclub ndio watakaocheza CAF super cup kwaajili ya kufungua pazia la CAF interclub msimu ujao
Haya bhn mwananchiYanga alivyo toka kufungwa na Vipers alikufanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasiraa, Simba haihusu nyie kuwa Kombe LA losers, Al hilal ndo aliwafurushaaaa. LolIla mashabiki wa Simba sio Bure aisee, mnahitaji maombi Sana
Nyie mwaka Jana mlishiriki hili kombe na mlikuwa mnajisifu mnoooo. Kipindi cha goli bora mkatoa mchezaji kwenye kugombea hakuna aliyejitokeza kusema hii ni ligi ya maluza.
Anyways tuachane na uzezeta wenu huo turudi kwenye bandiko lako. Wewe Nani kakwambia kwenye futbolu Kuna hesabu za cross multiplication?
Yaani una hangaika weeeee ku equetisha vipers na Washindi wa Mara kundi hili Mara lile, hivi tukifuata hizo cross multiplication zako Kati ya Simba na Yanga Nani mnyonge? Nani anaongoza ligi ya Tz ambao wote wanashiriki? Nani kafungwa mfululizo kwa michezo 5 iliyopita?
Jomba kuwa mshabiki wa makolo sio tiketi ya kuwa mbumbumbu jamaa, unaweza kabisa kutumia akili yako ukiamua
Poleeee kwa kutesekaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utoto Raha sana
hawa wengine mpira wAmeanza kuujua kupitia azam ndio wanaotusumbua hapMkuu unamaliza calories zako bure kwa kumpa elimu mtu ambaye hana hata contents za kimpira.
Sasa kama anakuambia kua Wydad waliweka wachezaji ambao sio regular starter kwenye mechi ya CAF SUPER CUP huyo si ana matatizo.Mkuu unamaliza calories zako bure kwa kumpa elimu mtu ambaye hana hata contents za kimpira.
Haujui mpira ndio maana unaona pumba. Haujui kutofautisha kati ya CAF super cup na CAF super league.Pumba tu
Ndio mashindano yaliyompa sakho goli bora mwaka janaSalaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika 90 haina hata shuti lililolenga lango halafu bado kuna vilaza wanajisifu kushiriki mashindano kama haya.
Mashindano ambayo hata vigezo vya kushiriki havifahamiki usishangae msimu ujao Malimao FC ukaona wanashiriki hii michuano hii ya kimlenda kwa sababu hakuna vigezo maalum vya kushiriki hata timu iliyomaliza nafasi ya 9 ligi ya Shelisheli inaweza ikashiriki haya mashindano ndio maana timu zake nyingi ni dhaifu.
MFANO mzuri timu kama VIPERS ambayo ni mwisho kwenye kundi lake HUKO KWA MABINGWA WENZIE amewagonga vilaza wanaoshiriki ligi ya waliofeli kama YANGA ambae anaongoza kundi lake huko kwa mazezeta tena akamfunga kilaza mwingine TP MAZEMBE na wote akiwapigia mpira mkubwa.
MWISHO NISEME VIPERS ANGEKUWA HUKU KWA VILAZA ANGECHUKUA KOMBE.