Mkuu, weka akiba ya maneno. TPL hadi sasa Yanga hana mpinzani.Nyie Ligi ya Mabingwa mbona hatukuwaona kwenye jukwaa. Hilo tumeaachia nyie Ndala, TPL hamna chenu aisee!
Ha ha ha....Hii ni dhambi sana jamani
Kutangulia na baiskeli ya udongo mliweza nyie tu sio Yanga.Utashuka tu hapo ulipo kupisha Bingwa wa Nchi
Kukaa hapo hata JKT Tanzania amewahi kwa muda..EPL unajua Man City upo wapi sasa[emoji3][emoji3]
Usijinasibu mkuu
Mkuu mnarudi eda yenu ya kutokubeba kombe lolote msimu huu,we jipe moyo tuNyie Ligi ya Mabingwa mbona hatukuwaona kwenye jukwaa. Hilo tumeaachia nyie Ndala, TPL hamna chenu aisee!
Ha ha ha....Hii ni dhambi sana jamani
Mbangi unayovuta itakuwa ya Malawi, Yanga Hana mpinzani? Seriously! Yanga hi ya kupitisha bakula kila kwenye mkusanyiko wa watu Bora useme Azam nfo ananafasi kubwa ya kumvua Simba ubingwaMkuu, weka akiba ya maneno. TPL hadi sasa Yanga hana mpinzani.
Hakuna la ajabu hapo mkuu. Mbona mwaka Jana, tulitolewa na Green lakini matokeo nadhani mliipata vilivyo.
This Is Simba Bro....SimbaNguvuMoja
Ndio maana naomba Mungu uanze kubanwa mbavu pale Sokoine, ukipata sare au kufungwa itakuwa jambo zuri sana.Hahahaa. Haya bana Jirani ila sasa bila kukomaa TPL mwakani mtakuwa watazamaji tu huko Kimataifa.
Haya bana jirani nasubiria tu dua zako japo saa nyingine kama tumepangiwa kupata tutakuwa wa kupata tu mpaka mwisho wa safari. π€£π€£Ndio maana naomba Mungu uanze kubanwa mbavu pale Sokoine, ukipata sare au kufungwa itakuwa jambo zuri sana.
Wanateseka Shem πππMIKIA FC hoi.....hadi raha....
Wengi ya waliocheza siku ile hawakustahili kusajiliwa Simba, na hili ni tatizo la siku nyingi la viongozi wa club yetuKama Bechi waache wakae benchi hadi mikataba yao iishe, kama mkopo basi wapelekwe mkopo.
Ni kwamba hawana kiwango cha kuichezea Simba Sports.
Na tukichukua Ubingwa wa Afrika je Shadeeya ?πππHahahaaaa. Nawaona tu yabidi macho na masikio muyaelekeze ligi kuu sababu huko mliko bila hivyo mwakani mtakuwa watazamaji kama kawa. πππ
Mlisema mna kikosi kipana yako wapi nyie MIKIA FC aka Mbumbumbu FC?Wengi ya waliocheza siku ile hawakustahili kusajiliwa Simba, na hili ni tatizo la siku nyingi la viongozi wa club yetu
Wakicheza na timu na wakiona kuna mchezaji wa timu pinzani kawasumbua siku hiyo kina Hanspop wanamsajili tu hata kama ni bila ridhaa ya bench la ufundi
Sana tu acha wateseke.Wanateseka Shem πππ
Wacha wapambane na hali zao...Kwahiyo kinyesi sawa, tukisema mavi inatia kichefu chefu hahaa....
Albino lugha ya watu ndugu zangu ila kikwetu ni zeru zeru,,, wala syo tusi mkuu.
Tuzoee uzito wa maneno yetu kwa lugha yetu.
Tukiambiwa (you're crazy )tunaona kama utani,, ila tukiambiwa _(wewe ni kichaa/umechanganyikiwa) tunaona matusi..
This is Tanzania, Nchi yenye udongo wenye dhambi.
Bakita watusaidie maana kama ikiwa hivyo lawama zinawarudia wao.
Basi wakacheze na Barcelona au PSG ili tuone vipaji vipya bongoWengi ya waliocheza siku ile hawakustahili kusajiliwa Simba, na hili ni tatizo la siku nyingi la viongozi wa club yetu
Wakicheza na timu na wakiona kuna mchezaji wa timu pinzani kawasumbua siku hiyo kina Hanspop wanamsajili tu hata kama ni bila ridhaa ya bench la ufundi
Watacheza nao tu mkuu wakiwa wanaiwakilisha Afrika katika club bingwa ya duniaB
Basi wakacheze na Barcelona au PSG ili tuone vipaji vipya bongo