Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Mkuu, weka akiba ya maneno. TPL hadi sasa Yanga hana mpinzani.
Utashuka tu hapo ulipo kupisha Bingwa wa Nchi

Kukaa hapo hata JKT Tanzania amewahi kwa muda..EPL unajua Man City upo wapi sasa[emoji3][emoji3]

Usijinasibu mkuu
 
Maneno tu hayo,hata mimi nikiamua kukuambia iliyoyafanya Yanga mwaka mmoja nyuma unaweza kuanza safari ya kwenda fifa muda huu,atuangalii past tunaangalia yajayo,sasa wewe jidanganye km ulivyokalilishwa na yule ropo ropo wenu
Hakuna la ajabu hapo mkuu. Mbona mwaka Jana, tulitolewa na Green lakini matokeo nadhani mliipata vilivyo.

This Is Simba Bro....SimbaNguvuMoja
 
Kama Bechi waache wakae benchi hadi mikataba yao iishe, kama mkopo basi wapelekwe mkopo.
Ni kwamba hawana kiwango cha kuichezea Simba Sports.
Wengi ya waliocheza siku ile hawakustahili kusajiliwa Simba, na hili ni tatizo la siku nyingi la viongozi wa club yetu

Wakicheza na timu na wakiona kuna mchezaji wa timu pinzani kawasumbua siku hiyo kina Hanspop wanamsajili tu hata kama ni bila ridhaa ya bench la ufundi
 
Mlisema mna kikosi kipana yako wapi nyie MIKIA FC aka Mbumbumbu FC?
 
Kwahiyo kinyesi sawa, tukisema mavi inatia kichefu chefu hahaa....

Albino lugha ya watu ndugu zangu ila kikwetu ni zeru zeru,,, wala syo tusi mkuu.
Tuzoee uzito wa maneno yetu kwa lugha yetu.

Tukiambiwa (you're crazy )tunaona kama utani,, ila tukiambiwa _(wewe ni kichaa/umechanganyikiwa) tunaona matusi..
This is Tanzania, Nchi yenye udongo wenye dhambi.

Bakita watusaidie maana kama ikiwa hivyo lawama zinawarudia wao.
Wacha wapambane na hali zao...
 
B
Wengi ya waliocheza siku ile hawakustahili kusajiliwa Simba, na hili ni tatizo la siku nyingi la viongozi wa club yetu

Wakicheza na timu na wakiona kuna mchezaji wa timu pinzani kawasumbua siku hiyo kina Hanspop wanamsajili tu hata kama ni bila ridhaa ya bench la ufundi
Basi wakacheze na Barcelona au PSG ili tuone vipaji vipya bongo
 
Back
Top Bottom