Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wapi akina Sapta Sapta na wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 China cha kuchema mtani. Yangu Macho leo. 😂😂😂😂Hahahaha, Mtani naona Mashujaa wanaonesha Ushujaa wao huko Taifa,kuumua Simba hadharani
Mie Alhamdulillah niko poa. Yaani. Kweli kabisa Mtani. Niaje lakini?Hahahaha, naomba nikusalimie Mtani, nafurahi sana kukuona humu ,
Heri ya Christmas ,hii zawadi ya Boxing Day ,ni wewe ndio unaitoa kupitia Mashujaa ?
Hahahaha, Mtani Mtani ,tusubiri mpira uishe[emoji23][emoji23][emoji23] China cha kuchema mtani. Yangu Macho leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi Wallah niliishangilia sana Yanga kwenye mechi yao na Tukuyu. Si unajua tena Shadeeya zile ndio mechi zenu mlizo zizoea sasa inabidi tu tuwape sapoti ili tuwafariji watani zetu wakati sisi tukiwa katika majukumu ya kuwakilisha Afrika Mashari huko kwa wanaojua soka, watu wa kaliba ya Simba SCSesten Zakazaka , Shunie, Tui OKW BOBAN SUNZU Sapta Sapta sembo sweetlee na wengineo Mkwapi sa tushangilie timu inacheza huku.
Naona wamekomboa tayari. Wameogopa aibu.Hahahaha, Mtani Mtani ,tusubiri mpira uishe
Haya ndio matokeo ya mwisho80' Gooooooooooaaal..Free Kick ya Chama inapigwa na kugonga mwamba na MO kumalizia
Simba SC 2-2 Mashujaa FC
Dah gud80' Gooooooooooaaal..Free Kick ya Chama inapigwa na kugonga mwamba na MO kumalizia
Simba SC 2-2 Mashujaa FC
Ndio nikasema leo nawapa likes tu siongei sana. 😀😀😀Juzi Wallah niliishangilia sana Yanga kwenye mechi yao na Tukuyu. Si unajua tena Shadeeya zile ndio mechi zenu mlizo zizoea sasa inabidi tu tuwape sapoti ili tuwafariji watani zetu wakati sisi tukiwa katika majukumu ya kuwakilisha Afrika Mashari huko kwa wanaojua soka, watu wa kaliba ya Simba SC
Hahahaha, Mtani Mtani ,tusubiri mpira uishe[emoji23][emoji23][emoji23] China cha kuchema mtani. Yangu Macho leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtani mie niko poa KabisaMie Alhamdulillah niko poa. Yaani. Kweli kabisa Mtani. Niaje lakini?
Hpo kama nakuona vile, maana utakua unaombea kimoyomoyo hawa jamaa watuadhiriNdio nikasema leo nawapa likes tu siongei sana. 😀😀😀
Walaa sipendi wawachafulie kitabu. 😂😂Hpo kama nakuona vile, maana utakua unaombea kimoyomoyo hawa jamaa watuadhiri
Swadakta maneno yako sawiya kabisa mkuuMkuu Shadeeya tuliza mtori nyama zipo chini, anayecheka mwisho ndio hucheka sana usisahau hiyo kauli.