Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Nawachora tu. Ndiyo wanavyoamini.πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawachora tu. Ndiyo wanavyoamini.πππππ
Wamekauka. Kigoma mwisho wa reli kweli.Mkuu wamekujibu hili swali lako kweli? πππ
una Roho wa Mungu mremboSina cha kuandika leo. Zaidi ya kuwapa likes Watani zangu woooote kwa kila mtakachokipata, hata kama ni maumivu. [emoji23][emoji23]
Hahahaa. HakikaWamekauka. Kigoma mwisho wa reli kweli.
Ndio nilichokiamua kwa Watani zangu hicho. Nawapa likes tu.una Roho wa Mungu mrembo
Sizitaki mbichi hizi, sungura aligumiaSio mbaya Sana kwani inatupa nafasi yakukomaa na TPL
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kujifariji huko mzee MIKIA umepachikwa na wana LIBOLO toka KG.Sio mbaya Sana kwani inatupa nafasi yakukomaa na TPL
Yaani hadi raha shemela.Hahahaa. Hakika
Mi nimeijua jana jioni Mtani. Ila si watu wazuri wale jamaa.Hahahaha ,Mtani kumbe Hawa Mashujaa logo yao ni Masokwe ya kule Gombe ,dah
Mi nimeijua jana jioni Mtani. Ila si watu wazuri wale jamaa.
Acha tu shem. Leo kumetuliaaa. No kelele. [emoji2][emoji2][emoji2]Yaani hadi raha shemela.
Hahahaha, Mtani we mchokozi ujueAcha tu shem. Leo kumetuliaaa. No kelele. [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaaa. Hatari sana.Hahahaha, asee nimeona picha sehemu ,sokwe kamtia kabali Simba nimecheka sana
Unadhani Mtani kuna sehemu nilikuwa nikipita kila asubuhi panauzwa kahawa basi kama Simba wameshinda unawakuta wamejazaaana sasa leo nimepita hakuna watu kabisaaa. Yaani pako shwaaari.Hahahaha, Mtani we mchokozi ujue
Hahahaha, aseeUnadhani Mtani kuna sehemu nilikuwa nikipita kila asubuhi panauzwa kahawa basi kama Simba wameshinda unawakuta wamejazaaana sasa leo nimepita hakuna watu kabisaaa. Yaani pako shwaaari.
Kwahiyo kinyesi sawa, tukisema mavi inatia kichefu chefu hahaa....Kwa asili jina zeruzeru ilikuwa ni dharau au tusi na haikuwa na maana ya rangi ya ngozi moja kwa moja. Na hiyo ilitokana na uelewa mdogo wa Watanzania wakati ule sababu za kwa nini Mtu anazaliwa albino.
Ndiyo maana kwa baadhi ya jamii nyakati zile Albino alikuwa akizaliwa anaonekana kama mkosi na kutupwa au kuuwawa!
Hii ni sawa na neno kiwete, wataalam wakatuambia neno sahihi mlemavu, kwa sababu kiwete kwa asili ni neno la dharau na kashfa.
Sisemi haya kumtetea Mtu. Ni uungwana tu. Mimi mwenyewe shabiki wa Yanga lakini haitotokea kumuita Haji Zeruzeru
Mwenye huu uzi sijui alitokomea wapi !View attachment 979006