Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Mwenye huu uzi sijui alitokomea wapi !
IMG-20181227-WA0015.jpeg
 
Kwa asili jina zeruzeru ilikuwa ni dharau au tusi na haikuwa na maana ya rangi ya ngozi moja kwa moja. Na hiyo ilitokana na uelewa mdogo wa Watanzania wakati ule sababu za kwa nini Mtu anazaliwa albino.

Ndiyo maana kwa baadhi ya jamii nyakati zile Albino alikuwa akizaliwa anaonekana kama mkosi na kutupwa au kuuwawa!

Hii ni sawa na neno kiwete, wataalam wakatuambia neno sahihi mlemavu, kwa sababu kiwete kwa asili ni neno la dharau na kashfa.

Sisemi haya kumtetea Mtu. Ni uungwana tu. Mimi mwenyewe shabiki wa Yanga lakini haitotokea kumuita Haji Zeruzeru
Kwahiyo kinyesi sawa, tukisema mavi inatia kichefu chefu hahaa....

Albino lugha ya watu ndugu zangu ila kikwetu ni zeru zeru,,, wala syo tusi mkuu.
Tuzoee uzito wa maneno yetu kwa lugha yetu.

Tukiambiwa (you're crazy )tunaona kama utani,, ila tukiambiwa _(wewe ni kichaa/umechanganyikiwa) tunaona matusi..
This is Tanzania, Nchi yenye udongo wenye dhambi.

Bakita watusaidie maana kama ikiwa hivyo lawama zinawarudia wao.
 
Back
Top Bottom