Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mkuu upo? Naona kipigo walichopata Simba kutoka kwa Mashujaa kimekutoa mafichoni kwa furaha ulokua nayo😀😀😀SIMBA KAKALISHWA VIZURI TU 😎😎😎😎😎😎 ASANTE MASHUJAA CHAMA LA WANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo? Naona kipigo walichopata Simba kutoka kwa Mashujaa kimekutoa mafichoni kwa furaha ulokua nayo😀😀😀SIMBA KAKALISHWA VIZURI TU 😎😎😎😎😎😎 ASANTE MASHUJAA CHAMA LA WANA
HAHAHAAH NAAAM MKUUMkuu upo? Naona kipigo walichopata Simba kutoka kwa Mashujaa kimekutoa mafichoni kwa furaha ulokua nayo😀😀😀
Hizi ni sawa na ndoto za Abunuasi. Niseme kupata huo ubingwa ni asilimia 0.1. 😀😀😀
Mlisema mna kikosi kipana yako wapi nyie MIKIA FC aka Mbumbumbu FC?
Kwa hiyo unanifukuza msibani eeh?Huna lolote wewe huwezi kuja kwenye jukwaa la soka mpaka usikie lenye kukufurahisha.
Nimemaliza mwanzo mwisho ndo kawaida yangu sikimbii mapambano.
Dah! Amakweli Yanga mmetuchoka...unajua sisi tuko katika daraja moja na kina Mamelod Sundowns na Keiza Chief za South, kina Al Ahly na Ismailia za Misri, kina Esparance ya Tunisia na Raja Casablanca ya Morocco, kina TP Mazeme na AS Vita za DRC halafu hutaki kutambua hilo!!!?Hizi ni sawa na ndoto za Abunuasi. Niseme kupata huo ubingwa ni asilimia 0.1. 😀😀😀
Unakatiza njia kwa kuangalia upande mmoja tu. Angalia upande wa pili kama hutajikuta Daraja moja na Ndanda, Mwadui, Prison, Mbao na zote zilizokwishatolewa kwenye Kombe la FA. Na kwa kauli ya Wazungu, huo ndio upeo wenu, maana umadhubuti wa mnyororo huangaliwa kwenye udhaifu wa kiungo chake (a chain is as strong as its weakest link)!Dah! Amakweli Yanga mmetuchoka...unajua sisi tuko katika daraja moja na kina Mamelod Sundowns na Keiza Chief za South, kina Al Ahly na Ismailia za Misri, kina Esparance ya Tunisia na Raja Casablanca ya Morocco, kina TP Mazeme na AS Vita za DRC halafu hutaki kutambua hilo!!!?
Kiwango walichokua nacho wao ndio tulichonacho sisi,wala usione ajabu tutakapovuka hatua ya makundi,tukavuka robo fainali, tukavuka nusu fainali na kisha tukaingia fainali na kisha tukatoroka na kombe. Tusiandikie mate na wino ungalipo Shadeeya ,hiyo ni kauli yangu ya kila mara
Angalau hapa leo nimejifunza msemo mpya kutoka kwa wanajangwanimaana umadhubuti wa mnyororo huangaliwa kwenye udhaifu wa kiungo chake (a chain is as strong as its weakest link)
Historia imejirudiaMabingwa wa Nchi, Simba SC, baada ya kuwafurusha vilivyo Nkana FC kutoka nchni Zambia kwa mabao (4-3 ) kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, leo inaingia kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kupepetana na Klabu ya Mashujaa FC kutoka mkoani Kigoma, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).
Safari hii walikuwa bize na Mamelodi wakasahau kufocus timu Yao.Historia imejirudia
Simba walitoka kucheza klabu bingwa kisha wakacheza na Mashujaa wakatolewa.
Msimu huu tena Simba imetoka kucheza ya klabu bingwa wamecheza na Mashujaa wametolewa kwa penati.