Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC): Simba SC 2-3 Mashujaa FC | Uwanja wa Taifa, Dar es salaam | 26/12/2018

Hizi ni sawa na ndoto za Abunuasi. Niseme kupata huo ubingwa ni asilimia 0.1. 😀😀😀
Dah! Amakweli Yanga mmetuchoka...unajua sisi tuko katika daraja moja na kina Mamelod Sundowns na Keiza Chief za South, kina Al Ahly na Ismailia za Misri, kina Esparance ya Tunisia na Raja Casablanca ya Morocco, kina TP Mazeme na AS Vita za DRC halafu hutaki kutambua hilo!!!?

Kiwango walichokua nacho wao ndio tulichonacho sisi,wala usione ajabu tutakapovuka hatua ya makundi,tukavuka robo fainali, tukavuka nusu fainali na kisha tukaingia fainali na kisha tukatoroka na kombe. Tusiandikie mate na wino ungalipo Shadeeya ,hiyo ni kauli yangu ya kila mara
 
Unakatiza njia kwa kuangalia upande mmoja tu. Angalia upande wa pili kama hutajikuta Daraja moja na Ndanda, Mwadui, Prison, Mbao na zote zilizokwishatolewa kwenye Kombe la FA. Na kwa kauli ya Wazungu, huo ndio upeo wenu, maana umadhubuti wa mnyororo huangaliwa kwenye udhaifu wa kiungo chake (a chain is as strong as its weakest link)!
 
Mabingwa wa Nchi, Simba SC, baada ya kuwafurusha vilivyo Nkana FC kutoka nchni Zambia kwa mabao (4-3 ) kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, leo inaingia kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kupepetana na Klabu ya Mashujaa FC kutoka mkoani Kigoma, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).
Historia imejirudia
Simba walitoka kucheza klabu bingwa kisha wakacheza na Mashujaa wakatolewa.
Msimu huu tena Simba imetoka kucheza ya klabu bingwa wamecheza na Mashujaa wametolewa kwa penati.
 
Safari hii walikuwa bize na Mamelodi wakasahau kufocus timu Yao.
 
Back
Top Bottom