Kwa hiyo wale BDF na Platnum kumbe walikuwa wazuri kuliko Yanga. Mbona wengi walisema tulilpangiwa na timu dhaifu ?. Mana wote hawa tulianza nao huku
Mpira unaanza saa ngapi wakuu ?
Hata kama ni yeye kapanga atakuwa amepatia asilimia 99.99, kama siyo Dilunga basi sherman ndani ya nyumba. Watu8 hujambo lakini ?
Mbona mimi nina startimes lakini sipati tbc 2, nifanyeje mkuu ?
mkuu sio kwel. Tbc2 ni lazima ulipe vifurushi.
Sijajua huko ulipo mkuu mbona mbeya inapatika tu na ukiona vp jiunge na kifurushi cha nyota tshs 4000 kwa mwezi tbc2 ipo
Nipo mkuu...kwema?
nipo huku dar ili kwenye startimes wamekata hiyo tbc 2. Nataka nilipie hata cha buku 2 ili nicheki game ya leo sijajua utaratibu wa kulipia naomba unijuze
Leo Yanga 3 - 0 Etoil Sahel
Aisee huu muhtasari ni babkubwa!
Na iwe hivyo inshaallah!
nauona mwisho wenu au tuwape okwi..
Umeanza visingizioNaona hali ya hewa muda huu sio nzuri, naona mawingu makali ya mvua kwenye anga ya Temeke na kinondoni. Isijekuharibu game
Ni 2-1...weka dau