MFUKUZI
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 933
- 700
Kwa hiyo wale BDF na Platnum kumbe walikuwa wazuri kuliko Yanga. Mbona wengi walisema tulilpangiwa na timu dhaifu ?. Mana wote hawa tulianza nao huku
Inawezekana Botswana na Zimbabwe ziko juu kisoka lakini pia inawezekana msimu uliopita walifika hatua gani kwenye michuano.. watu walisema n vibonde kulinganisha na vilabu vya kaskazini mwa africa.
Lakini huo ndiyo utaratibu kibonde anaanzia nyumbani siku zote na ni utaratibu wa soka duniani