Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kwa hiyo wale BDF na Platnum kumbe walikuwa wazuri kuliko Yanga. Mbona wengi walisema tulilpangiwa na timu dhaifu ?. Mana wote hawa tulianza nao huku

Inawezekana Botswana na Zimbabwe ziko juu kisoka lakini pia inawezekana msimu uliopita walifika hatua gani kwenye michuano.. watu walisema n vibonde kulinganisha na vilabu vya kaskazini mwa africa.

Lakini huo ndiyo utaratibu kibonde anaanzia nyumbani siku zote na ni utaratibu wa soka duniani
 
Mbona mimi nina startimes lakini sipati tbc 2, nifanyeje mkuu ?

Sijajua huko ulipo mkuu mbona mbeya inapatika tu na ukiona vp jiunge na kifurushi cha nyota tshs 4000 kwa mwezi tbc2 ipo
 
Sijajua huko ulipo mkuu mbona mbeya inapatika tu na ukiona vp jiunge na kifurushi cha nyota tshs 4000 kwa mwezi tbc2 ipo

nipo huku dar ili kwenye startimes wamekata hiyo tbc 2. Nataka nilipie hata cha buku 2 ili nicheki game ya leo sijajua utaratibu wa kulipia naomba unijuze
 
Yanga wameogopa kapumla magoli wameroga kwa kushikiana na ACT kuleta mvua
 
Naona hali ya hewa muda huu sio nzuri, naona mawingu makali ya mvua kwenye anga ya Temeke na kinondoni. Isijekuharibu game
 
Mechiawachezi hii. uwanja umejaamaji hatari
 
Nilijua only kagerasugar wanaletamvuaq kumbenawatunisia Wooiiii
 
Back
Top Bottom