Hapa yanga wawatundike hawa waarabu kama goli tatu au nne.
Tbc 1 wako hewani, Yanga wamepata penalt
Zidisheni maombi tupige la 2 jamani.
Ila kiungo ya chini ya yanga si nzuri!!
Mkuu toka uanze kuandika humu Leo ndo nimefurahia uandikaji wako. Anyway Leo waarabu koko wetu na tutawapiga nyingi ili hata wakileta fitna kwao tunawakalisha
Mechi ya marudiano na haya majamaa kuna kazi kwelikweli