Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Hapa yanga wawatundike hawa waarabu kama goli tatu au nne.

Mkuu toka uanze kuandika humu Leo ndo nimefurahia uandikaji wako. Anyway Leo waarabu koko wetu na tutawapiga nyingi ili hata wakileta fitna kwao tunawakalisha
 
Ila kiungo ya chini ya yanga si nzuri!!

Twite si mzuri akichezeshwa kati....

Ila ndio tutafanyaje na Telela yupo nje kwani ni majeruhi...

Halafu kama nilivyokushauri...

Matokeo weka pale juu kabisa, kila goli likiingia weka juu
 
Mkuu toka uanze kuandika humu Leo ndo nimefurahia uandikaji wako. Anyway Leo waarabu koko wetu na tutawapiga nyingi ili hata wakileta fitna kwao tunawakalisha

hahahaah,,,,,,mkuu leo nimeamua kuwa pamoja na yanga.
 
Mechi ya marudiano na haya majamaa kuna kazi kwelikweli
 
Leteni taarifa za kinachofanywa na mabalozi wetukimataifa kwenye michezo si hapa tanesco kafanya yake
 
Kwa kweli Yanga inatakiwa ishinde mabao labda manne. Hawa jamaa wataishushia mvua kubwa ya mabao kwa jinsi walivyoikamata Yanga
 
Nasisitiza MUKISHINDA MUSITUSUMBUE MITAANI. nihayo.
 
Yanga wana draw mechi ya leo...Wakienda Tunis wanapigwa
 
Back
Top Bottom