Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Yanga moja kafunga cannavaro
 

Attachments

  • 1429362139258.jpg
    1429362139258.jpg
    79.9 KB · Views: 432
Hapa yanga wawatundike hawa waarabu kama goli tatu au nne.
 
Yanga hatoki hii mechi? goli linarudi, yanga wanautafuta kwa tochi.
tbc nao hawatulii, mpira inachezwa wanaonyesha waru wa benchini. anyway, ngoja tuone, asanteni tbc kwa kutuonesha wanavyochinjwa yanga. Naona yanga wameshaangalia kibra.
 
Back
Top Bottom