Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

Kombe la Shirikisho Live: Yanga Afrika vs Etoile du Sahel

YANGA wameanza ku-DEFENCE badala ya KUSHAMBULIA
 
Kimahesabu Yanga wameshatolewa na hawatakiwi kwenda kwenye match ya marudiano.
 
ayy! ayy game ngumu sana;:;: Yanga hawajatulia kabisa
 
Yanga watatolewa kwa aibu kubwa kuliko hata ile ya kupigwa 6-0 na Raja Casablanca
 
Hawa watangazaji wanatuchanya sasa sisi tunataka kusikiliza timu ya wananchi wenyewe wanatuletea habari za mikia
 
Mi nashangaa wanatoa mechi yenye Taifa ina interest wanatuwekea mechi ya mchangani
 
Back
Top Bottom