Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Mie sijawahi kuona mhaya mkuda kama wewe....kisiasa uko ccm......na hapa unaongea kama umetoboka shingo.
Ha ha ha haaah,,,,,,mkuu usimtoe macho, mvumilie tu kama unavyomvumilia katika siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sijawahi kuona mhaya mkuda kama wewe....kisiasa uko ccm......na hapa unaongea kama umetoboka shingo.
Mwarabu tunamlia timing
Yanga wanashambuliwa kama Coastal Union
waarabu WANABEBWA!
inatakiwa bao tano, hata 4-0 sioni yanga ikitoka tunis, mnisamehe ila kama mwaangalia mpira mtakubaliana ma mimi. mechi hii iko utadhani etoile ndo wako nyumbani.
Mkuu Mbona unatoa akiba yako ya maneno?Yanga wana kismart flani hivi.., ni kama wameroga.., pamoja na yote haya wataongeza la pili..
Ila hawa tbc wanazingua kumtajataja huyu Dilunga wanyamaze tu mana wanamtupia lawama kweli hii ni game tu haya ni mambo ya kocha
kwa kutumia nn?