Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

Yanga inapaizwa na washabiki wake na baadhi ya vyombo vya habari lakini kiuhalisia Yanga yakawaida sana.
 
Mpira hauchezwi magazetini jamani.... Hii timu ya Ghana kwa namna ilivyoandikwa kuwa ni timu mbovu utaelewa kwanini mpira wetu ni wa kwenye magazeti
 
Yanga irudishe magoli hayo la sihivyo hapa kwangu nitahamishwa, maana mwenye nyumba ni team simba na tulikubaliana endapo yanga itafungwa, panga linakula kwangu
 
jamaa wana uchu sana hawa ila yanga pia soka wanalionesha
 
Ngoma alikuwa anachanja mbuga kwenda kuonana na kipa wakamkata refa alalaza Msuva akafunga tuta hilo ni 2- 1 dakika ya 30
 
20160726_182929.jpg
 
Back
Top Bottom