Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Tukanunue kaeneo hata cha million 200 chalinze huko tuhame kwenye dimbwi pale.
 
Y.A.N.G.A Undisputed

Milioni 600 kwenye account ya Jangwani

Tuwekane sawa hili

kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300

Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million

kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
 
Yanga mnapenda kujipa moyoo nendeni mkaokoe mafaili yamepitiwa na mafuriko
 
Sasa hiyo nafasi ya pili wataipata?
Tuwekane sawa hili

kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300

Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million

kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
 
unapendelea mchezo gani comrade?! pengine riadha au basketball au siyo??? tehtehtehtehteh
 
Tuwekane sawa hili

kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300

Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million

kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
Ngoja nikafuatilie hili
 
Back
Top Bottom