Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Tukanunue kaeneo hata cha million 200 chalinze huko tuhame kwenye dimbwi pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Y.A.N.G.A Undisputed
Milioni 600 kwenye account ya Jangwani
Hivi kwenye grp stage ni mpaka mwakani?Hongera sana Young Africans, wakimataifa.. Mwakani ndege kama kawaida
Hhhhhhh amna namna kk tupite tuNdio ndio
Wananunua game tu na kina prison huko[emoji23]Sisi ndio wa kimataifa sio mikia
Hapana ni mwaka huu ila tukifanya vizuri group stage tunaweza pata tiketi ya ushiriki kama timu itafanya vizuri hatua inayokujaHivi kwenye grp stage ni mpaka mwakani?
Kawaida yao mikiaWananunua game tu na kina prison huko[emoji23]
M 600 zinawahusu yanga, hiv bingwa wa bara anapewa ngap?
Ngoja tuchukue ndio uulize na vipesa vyenu vinavyoishia kulipa wachezaji...M 600 zinawahusu yanga, hiv bingwa wa bara anapewa ngap?
Tuwekane sawa hili
kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300
Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million
kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
Itajulikana baadae lkn kwanza 600mMatumizi yatakuwaje...kulipa madeni
Ngoja nikafuatilie hiliTuwekane sawa hili
kwa kuingia hatua ya makundi yanga wanapata millioni 300
Na wakishika nafasi mbili za juu kwenye kundi lao watapewa milkion 300 nyingine, jumla ndio zinakuwa 600 million
kwa hyo so far yanga wamepata million 300 kwa kuingia hatua ya makundi
Wivu tu, na ubingwa bado hamna uhakika...Ngoja tuchukue ndio uulize na vipesa vyenu vinavyoishia kulipa wachezaji...
Njooni nyumbani kuna timu zinawasubir zijinusuru kushuka daraja.
Ila bila kuwa bingwa wa bara hupati nafasi ya kushiriki [emoji23] [emoji23] [emoji23]M 600 zinawahusu yanga, hiv bingwa wa bara anapewa ngap?