Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Hapana ni mwaka huu ila tukifanya vizuri group stage tunaweza pata tiketi ya ushiriki kama timu itafanya vizuri hatua inayokuja
He ukifanya vzr group stage unashiriki mashindano yajayo.sheria hiyo imeanza lini
 
He ukifanya vzr group stage unashiriki mashindano yajayo.sheria hiyo imeanza lini
Unamaanisha tukitwaa ndoo ya CAF hatutapata tiketi ya moja kwa moja mwakani [emoji4] [emoji4]?
 
Taifa stars ndio huwa wanawakilisha nchi.ebu niambie kamusoko na tshishimbi walikua wanawakilisha nchi gani pale
Haina haja ya kubishana sana. Basi yanga walikuwa wanawakilisha Yanga sio Tz.
Upeo mfupi
 
Haina haja ya kubishana sana. Basi yanga walikuwa wanawakilisha Yanga sio Tz.
Upeo mfupi
Wewe ndio una upeo mfupi kama mkia .timu ya taifa ndio inawakilisha nchi.ndio maana ina watanzania watupu timu za club zinaweza zikakutanishwa hata zinacheza kwenye ligi ya nchi moja na zikapambana kama hazijuani maana pale kila timu inajiwakilisha yenyewe na mashabiki wake
 
Sawa mkuu umeshinda. Yanga wanawakilisha Congo
 
Lwandamina hakuyajua haya
Ipo hivi
Young Africans Wakienda makundi wanavuta pesa kama ifuatavyo

CAF mil 600
Sport pesa mil 400
Macron mil 53

Jumla Bil 1.3
Usajili wa yanga ni mil 250
Ipo hivi
Young Africans Wakienda makundi wanavuta pesa kama ifuatavyo

CAF mil 600
Sport pesa mil 400
Macron mil 53

Jumla Bil 1.3
Usajili wa yanga ni mil 250
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tuombe uzima Mkuu.
 
Duh! Watani bwana hamjambo. Mnashangilia kuingia makundi kumbukeni hili shindano la shirikisho sisi wekundu tulifika fainali tena kwa kuzitoa timu ngumu. Mnayo changamoto mbele cha msingi msifurahie makundi kaeni mjenge timu ya ushindani maana mnakoelekea ni pagumu sana.
Kila la heri
 
nimefurahi kwa kusonga mbele ila swali langu ni...benno kakolanya alikuwa wapi maana kitambo ajaanza ama kuwa benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…