Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He ukifanya vzr group stage unashiriki mashindano yajayo.sheria hiyo imeanza liniHapana ni mwaka huu ila tukifanya vizuri group stage tunaweza pata tiketi ya ushiriki kama timu itafanya vizuri hatua inayokuja
Mkuu, yajayo yanafurahishaHiyo ela ni nzuri tatizo madeni tu
😛😛 Pamoja na deni la Taifa lkn bado za kuiba zinapatikana.Tanzania yenyewe inadaiwa trililion 40+
Mkuu kunatofauti kati ya kupata ubingwa na kushindania ubingwa, kwa sasa yanga anashindania ubigwa ila simba anatafuta ubigwa...Ni rahisi Yanga kubeba ubingwa wa VPL kuliko huo.
Njooni mkaze buti lolote linawezekana
Unamaanisha tukitwaa ndoo ya CAF hatutapata tiketi ya moja kwa moja mwakani [emoji4] [emoji4]?He ukifanya vzr group stage unashiriki mashindano yajayo.sheria hiyo imeanza lini
Ipo hivi
Young Africans Wakienda makundi wanavuta pesa kama ifuatavyo
CAF mil 600
Sport pesa mil 400
Macron mil 53
Jumla Bil 1.3
Usajili wa yanga ni mil 250
Haina haja ya kubishana sana. Basi yanga walikuwa wanawakilisha Yanga sio Tz.Taifa stars ndio huwa wanawakilisha nchi.ebu niambie kamusoko na tshishimbi walikua wanawakilisha nchi gani pale
Wewe ndio una upeo mfupi kama mkia .timu ya taifa ndio inawakilisha nchi.ndio maana ina watanzania watupu timu za club zinaweza zikakutanishwa hata zinacheza kwenye ligi ya nchi moja na zikapambana kama hazijuani maana pale kila timu inajiwakilisha yenyewe na mashabiki wakeHaina haja ya kubishana sana. Basi yanga walikuwa wanawakilisha Yanga sio Tz.
Upeo mfupi
Sawa mkuu umeshinda. Yanga wanawakilisha CongoWewe ndio una upeo mfupi kama mkia .timu ya taifa ndio inawakilisha nchi.ndio maana ina watanzania watupu timu za club zinaweza zikakutanishwa hata zinacheza kwenye ligi ya nchi moja na zikapambana kama hazijuani maana pale kila timu inajiwakilisha yenyewe na mashabiki wake
Njooni mtuzuieMkuu kunatofauti kati ya kupata ubingwa na kushindania ubingwa, kwa sasa yanga anashindania ubigwa ila simba anatafuta ubigwa...
Yajayo yanafurahisha, upo tayari?
Kabisaaaaaaa.Muda wa shangwe swahiba
Kweli kabisa Swahiba.Aaaaha, nimekupa vilivyo, Kama wangeendelea kujilinda wasingepata matokea hayo.
Ipo hivi
Young Africans Wakienda makundi wanavuta pesa kama ifuatavyo
CAF mil 600
Sport pesa mil 400
Macron mil 53
Jumla Bil 1.3
Usajili wa yanga ni mil 250
Ipo hivi
Young Africans Wakienda makundi wanavuta pesa kama ifuatavyo
CAF mil 600
Sport pesa mil 400
Macron mil 53
Jumla Bil 1.3
Usajili wa yanga ni mil 250
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tuombe uzima Mkuu.Haina uhusiano we subirini tar 29. Ila leo tulikuea pamoja Kama nchi, japo sijui Kama nyie kandambili huwa mnatutakia mema kwenye michezo ya kuwakilisha nchi. Otherwise kandambili hongereni ila tafuteni makazi ya muda maji bado yamejaa jangwani.[emoji225] [emoji226] [emoji227] [emoji228] [emoji229]
Acha kabisa. Wanalo. Yanga ileeeeeee.Hahaha roho zinawauma