Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Mmh.
 
Swadaktaaaaa huo mwaka bingwa alikuwa pilsner wa pili yanga so simba alikutana na watatu wenzie!
PRISNER aijawai kuchukua ubingwa Tanzania mwaka huo Simba walishika nafasi ya Pili nyuma ya Malindi ya Zanzibar.
Yanga walikuwa mabingwa wa wa Bara na katika ligi ya Muungano walishika nafasi ya 3 mashindano yalifanyika Zanzibar.
 
Walete walete hao...........
 
Enzi za Mwalimu.
 
Michuano aliyoshiriki Simba wakati huo ilikuwa yanashirikisha timu zilizoshika nafasi za 3 kwenye ligi za nchi zao, wakati huo yalikuwepo mashindano 3 tofauti.
Hata mashindano haya kuna timu zimeshika nafasi ya nne zimeshiriki kwani hujui kuna nchi zinaingiza hadi timu mbili club bingwa
 
hivi Boko na Okwi wamewahi kucheza group stage ya CAF??????
Simba ilicheza fainali sio group stage,sory unaongelea simba au boko na okwi maana maana hao wameshachezea timu nyingi tu tofauti na simba
 
Simba ilicheza fainali sio group stage,sory unaongelea simba au boko na okwi maana maana hao wameshachezea timu nyingi tu tofauti na simba
acha muemko ..unaongelea kombe la washindi watatu wa nchi..lile kama kombe la Tusker tu...sorry lilishafutwa kitambo..actually kikosi chote cha Simba kasoro Niyo tu ndio anaexperience na hatua hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…