Fstborn
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 507
- 527
Swadaktaaaaa huo mwaka bingwa alikuwa pilsner wa pili yanga so simba alikutana na watatu wenzie!Kwa hiyo michuano hiyo ilikuwa dhaifu kulinganisha na ya sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadaktaaaaa huo mwaka bingwa alikuwa pilsner wa pili yanga so simba alikutana na watatu wenzie!Kwa hiyo michuano hiyo ilikuwa dhaifu kulinganisha na ya sasa?
Mmh.Duh! Watani bwana hamjambo. Mnashangilia kuingia makundi kumbukeni hili shindano la shirikisho sisi wekundu tulifika fainali tena kwa kuzitoa timu ngumu. Mnayo changamoto mbele cha msingi msifurahie makundi kaeni mjenge timu ya ushindani maana mnakoelekea ni pagumu sana.
Kila la heri
Hahahaaa. Na bado.Yaani imewauma kishenzi!
baada ya miaka kumi mpaka Bakhresa awape msaada..patheticMkuu kunatofauti kati ya kupata ubingwa na kushindania ubingwa, kwa sasa yanga anashindania ubigwa ila simba anatafuta ubigwa...
Yajayo yanafurahisha, upo tayari?
hivi Boko na Okwi wamewahi kucheza group stage ya CAF??????Mpira huu hauvutii wala hautulii... Yanga akisonga hapa ni bahati
PRISNER aijawai kuchukua ubingwa Tanzania mwaka huo Simba walishika nafasi ya Pili nyuma ya Malindi ya Zanzibar.Swadaktaaaaa huo mwaka bingwa alikuwa pilsner wa pili yanga so simba alikutana na watatu wenzie!
Walete walete hao...........Timu zilizoqualify hadi sasa
- Al Massry-Misri
- USM Algiers-Algeria
- AL Hillal-Sudan
- Enyimba-Nigeria
- Asec Mimosas-Ivory Coast
- Aduana Stars-Ghana
- AS Vita-DRC
- CARRA Brazaville-Congo
- WilliamsVille AC-Ivory Coast
- Young Africans-Tanzania
- Gor Mahia-Kenya
- Rayon Sports-Rwanda
- Djoliba-Mali
- US Songo-Msumbiji
Thubutuuu.....wao na Njombe Mji ndo saizi yao.hivi Boko na Okwi wamewahi kucheza group stage ya CAF??????
Hongera zenu Wanajangwani, 600 itapendeza zaidi!!! (in DR SHIKA's voice)Walete walete hao...........
Kazi hapo ipo. Ngoja tusubiri draw ya makundiWalete walete hao...........
Enzi za Mwalimu.Duh! Watani bwana hamjambo. Mnashangilia kuingia makundi kumbukeni hili shindano la shirikisho sisi wekundu tulifika fainali tena kwa kuzitoa timu ngumu. Mnayo changamoto mbele cha msingi msifurahie makundi kaeni mjenge timu ya ushindani maana mnakoelekea ni pagumu sana.
Kila la heri
Hahah Mbumbumbu wazembe kinoma.Mlifungwa na STELLA fc? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mashindano haya kuna timu zimeshika nafasi ya nne zimeshiriki kwani hujui kuna nchi zinaingiza hadi timu mbili club bingwaMichuano aliyoshiriki Simba wakati huo ilikuwa yanashirikisha timu zilizoshika nafasi za 3 kwenye ligi za nchi zao, wakati huo yalikuwepo mashindano 3 tofauti.
Stella abidjan haijulikani [emoji1] [emoji1]mlitolewa na stella ambayo haijulikani
Simba ilicheza fainali sio group stage,sory unaongelea simba au boko na okwi maana maana hao wameshachezea timu nyingi tu tofauti na simbahivi Boko na Okwi wamewahi kucheza group stage ya CAF??????
acha muemko ..unaongelea kombe la washindi watatu wa nchi..lile kama kombe la Tusker tu...sorry lilishafutwa kitambo..actually kikosi chote cha Simba kasoro Niyo tu ndio anaexperience na hatua hiiSimba ilicheza fainali sio group stage,sory unaongelea simba au boko na okwi maana maana hao wameshachezea timu nyingi tu tofauti na simba