37’ Welayta 2 - 0 Yanga
Acha shtuma za jumla. Inaamana Simba SC Mpira wao huoni? Ni pasi milioni.timu za bongo kwa butua butua badala watulize mpira chini
me nashindwa kuelewa kwann migomba hapangwi
PoleDooooh.
Migomba kabaki darmigomba tatizo lake kuu kutokukaba na mechi km hii inahitaji timu nzima kukaba
Kamusoko mchezaji wa 12 wa Wahabeshi
37’ Welayta 2 - 0 Yanga
45' Yanga wanapata kona ambayo haikuzaa matunda
Mpira ni mapumziko ambapo wenyeji wako mbele ya goli moja.
Welayta Ditcha 1-0 Yanga SC
(Aggregate 1-2)
Bahati Mbaya Mi Huwa Nawaombea Mabaya Mechi za Nyumbani Tuu Ila Za Kuwakilisha Nchi Huwaga Naombaga Mema Juu Yenu.Hahahaaa. Kama nakuona vile dua yako ya moyoni. [emoji85]
Haya karibu Mtani wangu utupe sapoti.
Hawa Welayta waliitoaje Zamalek? Au Zamalek ndio imeisha kiasi hiki siku hizi?
Wako kwao wanaongoza ila wamezidiwa sana.