Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

timu za bongo kwa butua butua badala watulize mpira chini
Acha shtuma za jumla. Inaamana Simba SC Mpira wao huoni? Ni pasi milioni.

Tuendelee kushuhudia mtanange Welayta vs Yanga
 
Huu ndiyo wakati yanga wangefunga walau goli moja ili watulie ila hawana mpango kabisa eti wamerelax wanapoteza na muda
 
Yusuf wa Yanga yuko chini baada kupata rabsha

44' kuelekea kumalizika kwa mnge ya kwanza

Welayta 1-0 Yanga

(Agg 1-2)
 
Hawa Welayta waliitoaje Zamalek? Au Zamalek ndio imeisha kiasi hiki siku hizi?
Wako kwao wanaongoza ila wamezidiwa sana.
 
45' Yanga wanapata kona ambayo haikuzaa matunda

Mpira ni mapumziko ambapo wenyeji wako mbele ya goli moja.

Welayta Ditcha 1-0 Yanga SC

(Aggregate 1-2)
 
37’ Welayta 2 - 0 Yanga

Akhsante Mungu. Naomba hao Welayta Ditcha wapate la 3 na ikibidi wapate hadi la 5 kabisa kama siyo la 7. Na ninavyomjua Mungu anavyonipenda hivyo ndivyo itakuwa. Anayejua Mpira lazima tu ataishangilia Welayta Ditcha ila ' Mijitu ' ya hovyo hovyo ndiyo itashabikia Yanga SC.
 
45' Yanga wanapata kona ambayo haikuzaa matunda

Mpira ni mapumziko ambapo wenyeji wako mbele ya goli moja.

Welayta Ditcha 1-0 Yanga SC

(Aggregate 1-2)

Wewe na kluger mnaangalia Screen tofauti Mkuu? Mbona mwenzako kasema jamaa wamepata Goli la pili dakika ya 37 na Wewe bado unang'ang'ania hilo hilo lako moja? Sasa hapa tumuamini nani?
 
Hahahaaa. Kama nakuona vile dua yako ya moyoni. [emoji85]

Haya karibu Mtani wangu utupe sapoti.
Bahati Mbaya Mi Huwa Nawaombea Mabaya Mechi za Nyumbani Tuu Ila Za Kuwakilisha Nchi Huwaga Naombaga Mema Juu Yenu.
 
Back
Top Bottom