Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Duh.. Uonga ni kitu kibaya hakika, yaani kutojiamini ndo sasa unaibuka?

Hongera mtani. Nakusubiri April29
Hahaaa. Mie na uoga wapi na wapi Mtani.kuna kazi nilikuwa nafanya ndio sababu.
 
Grp stage itakua na timu za kawaida sana..huenda tukawa grp moja na wale al masry
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haina uhusiano we subirini tar 29. Ila leo tulikuea pamoja Kama nchi, japo sijui Kama nyie kandambili huwa mnatutakia mema kwenye michezo ya kuwakilisha nchi. Otherwise kandambili hongereni ila tafuteni makazi ya muda maji bado yamejaa jangwani.[emoji225] [emoji226] [emoji227] [emoji228] [emoji229]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…