Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Ahsante sana Mtani. Huo ndio uzalendo.Bahati Mbaya Mi Huwa Nawaombea Mabaya Mechi za Nyumbani Tuu Ila Za Kuwakilisha Nchi Huwaga Naombaga Mema Juu Yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Ahsante sana Mtani. Huo ndio uzalendo.Bahati Mbaya Mi Huwa Nawaombea Mabaya Mechi za Nyumbani Tuu Ila Za Kuwakilisha Nchi Huwaga Naombaga Mema Juu Yenu.
Duh.. Uoga ni kitu kibaya hakika, yaani kutojiamini ndo sasa unaibuka?Haya sasa
OyeeeeeeYANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mikia bana..inakimbizana tu huko kkoo
Hakika Swahiba. Sisi waleeeeeeeeeee.Y.A.N.G.A Undisputed
Milioni 600 kwenye account ya Jangwani
Hahaaa. Mie na uoga wapi na wapi Mtani.kuna kazi nilikuwa nafanya ndio sababu.Duh.. Uonga ni kitu kibaya hakika, yaani kutojiamini ndo sasa unaibuka?
Hongera mtani. Nakusubiri April29
OyeeeeeeeeeeeeOyeeeeee
Muda wa shangwe swahibaHakika Swahiba. Sisi waleeeeeeeeeee.
Aaaaha, nimekupa vilivyo, Kama wangeendelea kujilinda wasingepata matokea hayo.Hahaaa. Mie na uoga wapi na wapi Mtani.kuna kazi nilikuwa nafanya ndio sababu.
Ndio ndioNa bado kwenye makundi tutapenya tu
Haina uhusiano we subirini tar 29. Ila leo tulikuea pamoja Kama nchi, japo sijui Kama nyie kandambili huwa mnatutakia mema kwenye michezo ya kuwakilisha nchi. Otherwise kandambili hongereni ila tafuteni makazi ya muda maji bado yamejaa jangwani.[emoji225] [emoji226] [emoji227] [emoji228] [emoji229][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaha roho zinawaumaWatani zangu leo mlivyojazana mmh.
Haya ahsanteni kwa kuja. Hahahaaaa
Afadhali wewe umesema ukweli Mtani maana wengine ni kuiponda Yanga kwa kweliHawa Welayta waliitoaje Zamalek? Au Zamalek ndio imeisha kiasi hiki siku hizi?
Wako kwao wanaongoza ila wamezidiwa sana.