Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

Kombe la Shirikisho: Welayta Ditcha 1 -0 Yanga SC, Yanga yasonga hatua inayofuta

alafu aijaelewa njaa imetoka wapi
Sport Pesa
Vodacom
Azam (Tv rights)
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Udhamini huo wa sasa inawafaa Ndanda FC au Mtibwa Sugar. Kuendesha timu za Simba na Yanga ni gharama kubwa
 
Naona Yanga wameanza kusikia ushauri wangu. Kona ya Tatu wanapa Yanga
 
timu za bongo kwa butua butua badala watulize mpira chini
 
Aisee bora vijana wetu ..kuwaamini hawa wachezaji wa nje ni uzwazwa wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom