Kombinesheni hii ilikuwa hatari sana kwa CUF

Kombinesheni hii ilikuwa hatari sana kwa CUF

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Rais akiwa hayati Benjami William Mkapa, Rais wa Zanzibar akiwa Salmin Amour Komandoo na IGP akiwa Omary Mahita, CUF wakiwa kama Chama Kikuu cha Upinzani maji waliita mma. Utumishi wao katika Taifa hili umetukuka sana
IMG_4584.jpeg
 
Mahita: "kama wao ngangali basi sisi ni ngunguli"😃😃😃
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

"Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa na wala si maadui wa Dhihaka"

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.


OKOENI TAIFA LENU LEO.

IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.

MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
UNGEKUWA NA AKILI TIMAMU UNGETUAMBIA JINSI WALIVYO PAMBANA NA UMASIKINI, UJINGA NA MARADHI.
 
Back
Top Bottom