Kombinesheni ipi ilikuwa bora?

Kombinesheni ipi ilikuwa bora?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Leo tumalize ubishi, ipi ilikuwa kombinesheni bora kwenye beki ya kati kuwahi kutokea.
IMG_20190925_185555.jpeg
IMG_20190925_185551.jpeg
IMG_20190925_185521.jpeg
IMG_20190925_185508.jpeg
IMG_20190925_185310.jpeg
 
Sergio Ramos na Pepe, hata hiyo picha uliyotumia hapo it says a lot, lol

Pengine wengi hawakuona pengo la Pepe sababu timu ilikuwa inashinda na kuchukua makombe kwa juhudi binafsi za Christiano Ronaldo, ila alipoondoka ndipo madudu yote yamekuwa hadharani, ikiwemo na ubovu wa safu ya ulinzi.
 
Kwangu mimi ni mlozi kutoka gamboshi na mchawi kutoka kwamsisi... (Sorry kwa kutoka nje ya mada)
 
wanadamu hawa hujawatendea haki kutokuwaweka kwenye list yako.
tony adams na martin keown
martin kewon na sol campbell
bahati nzuri wote nimewashuhudia udogoni mwangu kwa nyakati tofauti kabla sijafikisha miaka 10.
kuna mechi huyu muhuni martin keown alitaka kumpiga nistelrooy ndani ya uwanja, ilikuwa mwaka 2003
1569428784726.png
 
Mimi siwapendi Chelsea ila hao mabwana walikua ni shida , ila kwa ujumla wote uliowaweka wote walikua best ndio maana kwa nyakati tofauti timu zao zilifanya vizuri
 
Waligonganishwa vichwa na Ricardo Kaka? Ferdinand anaijua Shughuli ya Yakubu wa Everton
ni ajali kazini mkuu kina Ramos,Boateng,Puyol na mabeki wengine mahiri wa kati kwa namna moja ama nyingine wote walishawahi lambishwa nyasi ni mambo ya kawaida ila hayawatoi katika mstari wa mabeki imara zaidi waliowahi kucheza mpira pale EPL.
 
Enzi zao nilikua nawachukia sana na Man Utd. Ndio maana kwenye Comment yangu hapo juu nikamalizia kwa ujumla wote waliowekwa ni wazuri, ila.mimi nilivutiwa sana na hao wa kwanza
 
Daah hapa mtihani sana maana wote walifanya vizuri kwa nyakati tofauti, Nesta na maldin pale juu kidogo kuna Ambrossin na Pirlo acha kabisa...
Ferdinand na Vidic daah pacha matata kabisa mpk sasa timu yangu haijapata mbadala
 
Sergio Ramos na Pepe, hata hiyo picha uliyotumia hapo it says a lot, lol

Pengine wengi hawakuona pengo la Pepe sababu timu ilikuwa inashinda na kuchukua makombe kwa juhudi binafsi za Christiano Ronaldo, ila alipoondoka ndipo madudu yote yamekuwa hadharani, ikiwemo na ubovu wa safu ya ulinzi.
Umemaliza kila kitu!
 
Back
Top Bottom