Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Leo tumalize ubishi, ipi ilikuwa kombinesheni bora kwenye beki ya kati kuwahi kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ferdinand na Vidic ilikuwa aidha upite wewe mpira ubaki au wewe ubaki mpira upite
ni ajali kazini mkuu kina Ramos,Boateng,Puyol na mabeki wengine mahiri wa kati kwa namna moja ama nyingine wote walishawahi lambishwa nyasi ni mambo ya kawaida ila hayawatoi katika mstari wa mabeki imara zaidi waliowahi kucheza mpira pale EPL.Waligonganishwa vichwa na Ricardo Kaka? Ferdinand anaijua Shughuli ya Yakubu wa Everton
ni ajali kazini mkuu kina Ramos,Boateng,Puyol na mabeki wengine mahiri wa kati kwa namna moja ama nyingine wote walishawahi lambishwa nyasi ni mambo ya kawaida ila hayawatoi katika mstari wa mabeki imara zaidi waliowahi kucheza mpira pale EPL.
Leo tumalize ubishi, ipi ilikuwa kombinesheni bora kwenye beki ya kati kuwahi kutokea.
View attachment 1215952View attachment 1215953View attachment 1215954View attachment 1215955View attachment 1215956
Umemaliza kila kitu!Sergio Ramos na Pepe, hata hiyo picha uliyotumia hapo it says a lot, lol
Pengine wengi hawakuona pengo la Pepe sababu timu ilikuwa inashinda na kuchukua makombe kwa juhudi binafsi za Christiano Ronaldo, ila alipoondoka ndipo madudu yote yamekuwa hadharani, ikiwemo na ubovu wa safu ya ulinzi.
Kamati ya roho mbayaWazee wa kazi chafu Pepe na Ramos
Kombinesheni hii ilichagizwa haswa na matumizi makubww ya akili.Maldini na nesta walikuwa hatari
Hapana sio wao mkuu, cheki tena rekodi zakoWaligonganishwa vichwa na Ricardo Kaka? Ferdinand anaijua Shughuli ya Yakubu wa Everton