okay !Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.
===============
Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa.
Majadiliano yalilenga:
1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Tanzania na vipaumbele vya sera za kigeni.
2. Ushirikiano wa EU-Tanzania unaozingatia demokrasia, utawala wa sheria, maadili na maslahi ya pande zote mbili.
English.
Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.
Discussions focused on:
EU concerns with regard to Tanzania’s Human Rights and Democracy situation & foreign policy priorities.
EU Tanzania cooperation based on democracy, rule of law, values & mutual interests.
#Free Tundu Lissu.
View attachment 3603824
Asubiri kura zipigwe.Kwa hio wakampa jibu gani?
Ukilala ukiamka mawazo yako ni kutaftiza vijihabari vya kukufariji eti TZ itakomeshwa!Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.
===============
Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa.
Majadiliano yalilenga:
1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Tanzania na vipaumbele vya sera za kigeni.
2. Ushirikiano wa EU-Tanzania unaozingatia demokrasia, utawala wa sheria, maadili na maslahi ya pande zote mbili.
English.
Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.
Discussions focused on:
EU concerns with regard to Tanzania’s Human Rights and Democracy situation & foreign policy priorities.
EU Tanzania cooperation based on democracy, rule of law, values & mutual interests.
#Free Tundu Lissu.
View attachment 3603824
Ndo itasaidia kuitoa CCM?Kombo anatakiwa awekewe vikwazo kukutana na mabalozi wa EU! Si walishasema who are you, sasa nini tena?
Yaani wanashupaza MAFUVU na MAKOMWE tu.Kazi ipo, wao wanataka wasiwekewe vikwazo lakini wao kutenda haki hawataki.!!
KOMBORELA 😹Kombo Kweli ni Kombo
Mi maviii imemjaa kichwani
Wanajichosha wazungu sio wamatumbi..!!Yaani wanashupaza MAFUVU na MAKOMWE tu.
Wanadhani wazungu ni watu vigeugeu wa sampuli ya kina Samia "mswahili" wanaoweza ku - compromise na principles za Umoja wa na zile zilizo ktk mikataba ya kimataifa...Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.
===============
Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa.
Majadiliano yalilenga:
1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Tanzania na vipaumbele vya sera za kigeni.
2. Ushirikiano wa EU-Tanzania unaozingatia demokrasia, utawala wa sheria, maadili na maslahi ya pande zote mbili.
English.
Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.
Discussions focused on:
EU concerns with regard to Tanzania’s Human Rights and Democracy situation & foreign policy priorities.
EU Tanzania cooperation based on democracy, rule of law, values & mutual interests.
#Free Tundu Lissu.
Kwanini hawakumtimua?Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.

Una Cv ya mwanakombo?Kombo anatakiwa awekewe vikwazo kukutana na mabalozi wa EU! Si walishasema who are you, sasa nini tena?