PostGE2025 Kombo aenda ubalozi wa EU Tanzania kuzungumzia vikwazo

PostGE2025 Kombo aenda ubalozi wa EU Tanzania kuzungumzia vikwazo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kazi inishinde kwani mama'ko kaniajiri.

Mimi sio chawa wa mama yako muuaji kuwa hadi nimsifie ndipo nile, najiamini pmbf.
Calm down dogo, punguza hasira. Kila kazi ina changamoto zake that's why nikakwambia kuwa mvumilivu otherwise kazi itakushinda.
Usipanic
 
Calm down dogo, punguza hasira. Kila kazi ina changamoto zake that's why nikakwambia kuwa mvumilivu otherwise kazi itakushinda.
Usipanic
Wewe ndiye wa kunipa changamoto au kuna mwingine.
 
Wewe ndiye wa kunipa changamoto au kuna mwingine.
Mi siwezi kukupa changamoto yoyote, ila tu uwe mstahmilivu unapokutana na changamoto za wasiokubaliana nawe otherwise kazi itakushinda. Angalia usiharibubkazi yako.
 
Ukilala ukiamka mawazo yako ni kutaftiza vijihabari vya kukufariji eti TZ itakomeshwa!
As if wewe sio MTz.
Kuna ujinga mwingi humu jukwaani. Yupo Lord Denning alidanganya watu kwamba ICC watakuja hapa Tanzania kwa ajili ya kesi ya Samia.

Nikaongea na wasaidizi wa SSH wakaniambia hakuna mtu wa ICC atakayekuja nchini, hakuna kesi yoyote.
 
Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.
===============

Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa.

Majadiliano yalilenga:

1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Tanzania na vipaumbele vya sera za kigeni.

2. Ushirikiano wa EU-Tanzania unaozingatia demokrasia, utawala wa sheria, maadili na maslahi ya pande zote mbili.

English.

Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.

Discussions focused on:

EU concerns with regard to Tanzania’s Human Rights and Democracy situation & foreign policy priorities.

EU Tanzania cooperation based on democracy, rule of law, values & mutual interests.

#Free Tundu Lissu.

View attachment 3603824
Bado hamjasema....
Yuko wapi chinjachinja aliyewauliza wazungu "WHO ARE YOU?"
 
Back
Top Bottom