PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Safari ya Russia iliyotetemesha dunia imeishia wapi?
Wewe fala unanipangia cha kupost kwani huwa nakuita kwenye thread zangu kafie mbele.Ukilala ukiamka mawazo yako ni kutaftiza vijihabari vya kukufariji eti TZ itakomeshwa!
As if wewe sio MTz.
Ni Mpuuzi Sana Kauli Mbaya Kama Imetolewa Na MwanasesereAtahangaika sana huyo Makombo, damu hazisafishwi hivyo .
Akirudi Dodoma anasema askari waliua sababu walirushiwa mawe.
08 June 2026
EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs
View attachment 3603832
Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.
Leo, Mabalozi wa Nchi Wanachama wa EU wamekutana na Mhe. Amb. MT Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo wawakilishi wa nchi za ulaya pia Umoja wa Ulaya EU na maofisa wa juu wa serikali ya Tanzania ya hali ya kisiasa .
TOKA MAKTABA :
MAY 2026
Tanzania has denied entry to a European Parliament delegation investigating alleged election violence and human rights abuses linked to the country’s 2025 general elections.
![]()
Tanzania's president Samia Hassan
- Tanzania has denied entry to a EU Parliament delegation investigating alleged election violence and human rights abuses during the 2025 general elections.
- The government blocked the delegation after repeated postponements and delays, citing a need to finish its own internal inquiry into election-related violence.
- Despite the completion of Tanzania's national investigation in April 2026, authorities have not confirmed dates for the rescheduled European visit.
- Besides probing rights abuses and election irregularities, the EU mission aimed to audit EU-funded projects and meet with civil groups and legal bodies including the African Court.
Yes of course, every drop counts!Ndo itasaidia kuitoa CCM?
Yaani wanavyohaha, wanajitihada kweli kweliKazi ipo, wao wanataka wasiwekewe vikwazo lakini wao kutenda haki hawataki.!!
HahahaUkiona hivyo mjue safari ya urusi hawakupata chochote
Wanajichosha tu!Yaani wanavyohaha, wanajitihada kweli kweli
Usiwe mkali basi. Kweeeli najua upo kazini na ndio kazi inayokupa ugali wako wa siku, lkn hebu kuwa mstahmilivu basi otherwise kazi itakushinda.Wewe fala unanipangia cha kupost kwani huwa nakuita kwenye thread zangu kafie mbele.
OkYes of course, every drop counts!
Hawa wahuni wasiwachezee wazungu ,kwa afya ya taifa letu ebu watulize mafuvu na kuwasikiliza wazungu wanataka nini tusije kuwa kama zimbabwe chonde chonde..
Tulizeni Makomwe mfuate wazungu wanataka nini.
Kazi inishinde kwani mama'ko kaniajiri.Usiwe mkali basi. Kweeeli najua upo kazini na ndio kazi inayokupa ugali wako wa siku, lkn hebu kuwa mstahmilivu basi otherwise kazi itakushinda.
Haya ingia chimbo jingine utuletee
Yaani vitu rahisi tu wamevifanya wenyewe kuwa vigumu haina faida yoyote kwa mashtaka ya Lissu zaidi kuzidisha mgandamizo( pressure) kutoka sehemu mbalimbali. DPP alipaswa kuwa amefuta zamani shitaka hiloKwa mfano akienda huku lissu ikiwa nje huru,
Haoni kwamba itapunguza maswali na munkari wa EU?
Ki nchi chenyewe masikini, wakiwa ikulu wanadanganyana hakuna wa kuwaingilia,Eti Who are you... kauli ya kijinga sana . Unawaambia watu wanaokupa misaada unajitambua kweli ?
Kombo waambie sasa , wananchi wakiwarushia mawe polisi, shwain, piga ua!Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.
===============
Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa.
Majadiliano yalilenga:
1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Tanzania na vipaumbele vya sera za kigeni.
2. Ushirikiano wa EU-Tanzania unaozingatia demokrasia, utawala wa sheria, maadili na maslahi ya pande zote mbili.
English.
Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.
Discussions focused on:
EU concerns with regard to Tanzania’s Human Rights and Democracy situation & foreign policy priorities.
EU Tanzania cooperation based on democracy, rule of law, values & mutual interests.
#Free Tundu Lissu.
View attachment 3603824