Calm down dogo, punguza hasira. Kila kazi ina changamoto zake that's why nikakwambia kuwa mvumilivu otherwise kazi itakushinda.Kazi inishinde kwani mama'ko kaniajiri.
Mimi sio chawa wa mama yako muuaji kuwa hadi nimsifie ndipo nile, najiamini pmbf.
Wewe ndiye wa kunipa changamoto au kuna mwingine.Calm down dogo, punguza hasira. Kila kazi ina changamoto zake that's why nikakwambia kuwa mvumilivu otherwise kazi itakushinda.
Usipanic
Mi siwezi kukupa changamoto yoyote, ila tu uwe mstahmilivu unapokutana na changamoto za wasiokubaliana nawe otherwise kazi itakushinda. Angalia usiharibubkazi yako.Wewe ndiye wa kunipa changamoto au kuna mwingine.
Kuna ujinga mwingi humu jukwaani. Yupo Lord Denning alidanganya watu kwamba ICC watakuja hapa Tanzania kwa ajili ya kesi ya Samia.Ukilala ukiamka mawazo yako ni kutaftiza vijihabari vya kukufariji eti TZ itakomeshwa!
As if wewe sio MTz.
Bado hamjasema....Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe.
===============
Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, kwa mazungumzo ya hali ya juu ya kisiasa.
Majadiliano yalilenga:
1. Wasiwasi wa EU kuhusu hali ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Tanzania na vipaumbele vya sera za kigeni.
2. Ushirikiano wa EU-Tanzania unaozingatia demokrasia, utawala wa sheria, maadili na maslahi ya pande zote mbili.
English.
Today, EU Member States Ambassadors met with Hon. Amb. M.T. Kombo, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, for a high-level political dialogue.
Discussions focused on:
EU concerns with regard to Tanzania’s Human Rights and Democracy situation & foreign policy priorities.
EU Tanzania cooperation based on democracy, rule of law, values & mutual interests.
#Free Tundu Lissu.
View attachment 3603824