Elections 2010 Kombora la Mbatia kwa Marando na Slaa ni kweli hawafai kuwa viongozi

Elections 2010 Kombora la Mbatia kwa Marando na Slaa ni kweli hawafai kuwa viongozi

Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete

Huu unaitwa ulemavu wa akili.

Kuna mtu kasema wewe ni bwabwa. Mi simo ebo. Pengine unapatikana kule mitaa ya Ohio.
 
Mbatia tunakufahamu acha unafiki zungumza namna wapinzani wenzako wanvyozungumza hatutaki wanafiki wewe ni oposition yet bado unazungumzia -watanzania tumeamuka hatutaki wanasiasa njaaaaa, tunataka watu seriuos tuambie utaondoa vipi kero sio kuongelea Rais wetu ajaye, tunamwamini saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana Dr.Slaa ndio chaguo la wengi anazungumzia vitu vinamgusa mtanzania wa kila siku, anawafanya ccm wasilale na tupo nae mpaka ikulu 2010 hatudanyiki,
 
nakubaliana na wewe jicholangu -huyu jamaaa kweli kaoza akili yaani karne ya 21 anafikiri watu bado ni hamnazo, eti nae anaita kombora -ninamuomba Dr. Slaa wala asimzungumzie mbatia manake unaweza kuonekana chizi kama chizi akikuta unaoga akachukua nguo zako then wewe ukamkimbiza -sasa Marando na Dr.Slaa muda huu ni wa kuangalia jinsi ya kulinda kura achanani na hawa vibaraka wanaoweka mbele njaa zao kuliko maisha ya watanzania.
 
Chadema Mwendo Mdundo Fichua Mafisadi
 
Last edited by a moderator:
kwa nini haya nhakuyasema mwanzo na kwanza mamake hakuwa kiongozi wa NCCR yeye na marando walikutana wapi au alikuwa mlinzi wa office na kama nyaucho ailiiba yeye mbatia aliripoti wpi?

any way woote hao si wa kuwaamini sana
 
Mkitaka kumjua Mbatia ni nani muulizeni Augustine Lyatonga Mrema!!Amekimbia kwao Vunjo anafikili atalia lia hapo Kawe waswahili wampe kura; hapati ng'o!!
 
Mbatia ni mnafki mkubwa hanalolote sera ameishiwa juzi kati nilikuwa kwenye mkutano wake hakawa anatumia kifo cha mama yake kama mtaji ili kupata kura zauruma, na jana akawa anazunguka jimbo la kawe na VX yake ya kupewa akiwa anawapungia watu mikono kachoka mbaya .
 
Huyu mbatia ni wa kumpuuza kwani anaonekana yupo kuua upinzani na si kiongozi wa upinzani hasa, ni kibaraka tu huyu.
Nakumbuka Mtikila alisema wazi kuwa katika ule uchaguzi mdogo wa tarime, yeye mtikila na hawa NCCR walitumika kuihujumu CHADEMA. Sikumbuki kumwona/kumsikia mbatia akikanusha hili. kwa hiyo mtu kama huyu ni wa kummpuza tu maana anatafuta umaarufu tu.
 
mbatia asifanye watanzania mabwege,malipo yake anayaona kwenye mikutano yake ya kampeni watu hawazidi 20
 
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete

Umechanganya madawa ukayanywa halafu unajidhalilisha hadharani. MBATIA = MAKAMBA = KINANA = KIKWETE= 0 kwenye national issues na national interests. Interest yao ni ufisadi kwa maana ya kututumia watanzania kwa manufaa yao kupita kwa waramba makombo ya ufisadi kama kama wewe mpo wengi wala hamjitambui kama ni wagonjwa. Ni kawaida nnzi kufia kidondani.
 
Nasikia Jamaa Mtoto si Rizki, watu wanapakaua :becky:
mkulu hiyo tabia siipendi hata kidogo na ninaichukia kwa nguvu zote kama vitabu vitakatifu vinvyofundisha, LAKINI kwa hasira nilio nayo akija NABABUA, hata JK pia NABABUA ili angalau hasira ipungue.
 
CHAGUA DR.SLAA, funguka akili, kama bado unafikiri kizamani.
 
Nasikia Jamaa Mtoto si Rizki, watu wanapakaua :becky:

kidatu katumia tafsida katika post yake ukweli ni kwamba Mbatia BWABWA hata Mrema amesha wahi kulieleza hilo wakati wa mgogoro wao ndani ya NCCR MAGEUZI .Na kama wewe ni mfuatiliaji wa tabia chafu za Viongozi wa CCM yaani wataalam wa kula kisamvu cha kopo, utabaini wana uswahiba wa karibu na huyo Bwana na kuna taarifa ambayo sijapata uthibitisho wake lakini magazeti ya Udaku yameshazirusha hewani ni kuwa kuna kiongozi mwingine wa juu wa NCCR naye BWABWA huyo kiongozi alikuwa mwanajeshi na alifukuzwa kwa kashfa hiyo ya kuliwa kiboga. Hiyondiyo NCCR ya MBATIA ambaye kwa sasa ana ukaribu na RA haieleweki ukaribu wao ni wa kisiasa au kibiashara
 
hiyo tabia siipendi na naichukia kwa nguvu zote, ila msela akija nababu, hata JK pia nababua ili nipunguze hasira.

Angalia katika harakati za kutaka "kubabua" mtoto wa Pwani, usije kubabuliwa wewe. Just a free advice. :becky:
 
Halafu Mbatia anafanya kosa lilelile la Makamba kuingiza masuala ya maisha binafsi.Hivi hajui kama yeye naishi kwenye nyumba ya vioo,na wahenga walishasema aishiye kwenye nyumba ya vioo asirushie mawe wenzie?Akiendeleza habari hizi basi si ajabu akajikuta wanaojua kuhusu sexuality yake nao wakaanza kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
Kweli kabisa Mlalahoi, ataacha watu waanze kujadili lile lililozungumzwa wakati akiwa Mbunge kuhusu yeye kuwa ni $#@g* Akae kimya au aongee mambo ya msingi na watu watamuelewa. Kama anatumwa na kina Makamba shauri yake.
 
mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu mama yake, alivyoiba mali za chama nccr mageuzi, alivyokitelekeza chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la jumapili ya tarehe 26 sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana nccr ilisarambaratishwa na marando na sasa masikini dr slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao slaa na marando.

Mgombea mzuri ni dr jakaya mrisho kikwete na mshauri mzuri ni kanalli (mst) kinana kama ilivoandika katika kitabu cha joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata mungu mimi na familia yangu tutamfuata mungu na kura kwa kikwete

hivi kweli msomi na mwenyekiti wa chama anaweza kuacha kuzungumzia mikakati ya kuondoa umaskini hapa nchini na akaanza kuzungumzia watu, digrii za kuchakachua hizo.
 
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete

Kwani NCCR ni ya mbatia na mama yake?
 
Back
Top Bottom