Elections 2010 Kombora la Mbatia kwa Marando na Slaa ni kweli hawafai kuwa viongozi

Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete

Pumba nyingine
 
hivi ukipewa adhabu ya kifo utasema watu wanakuonea??
Huyu aliyetoa maoni kuwa kikwete ni kiongozi mzuri na dr slaa na marando hawafai ni ni siasa ila hatuna mafisadi kama CCM na hakuna asiyejua
CHadema Chadema mtapita bila kupingwa hata na CCM watatumia UChawi na Wizi wa Kura lakini Mwaka huu ni chungu machozi ya watanzania imemfikia Mungu naye atashuka kuwakomboa na Mikono ya Utumwa wa CCM na Uonevu na Ufisadi na Utawala usijali waliowakoo bali imemewakumbatia Mafisadi mapapa na Wawekezaji. na kuwaacha wazawa wanalia na kuombaomba. Mungu Ushuke na Utupiganie kura ztu isichukuliwae kwa wizi wal kuongeza kura kwa kuwanunua wanafunzi wa vyuo kwa kuwapigia kura CCM bali Utupe leo KIongozi bora Amen
 
Tunajua Mbatia ni Gay, halafu ni kibaraka wa CCM, amekwishaona hata ubunge hapati ameanza kuwachafua wenzake. Ulaaniwe mbatia na kizazi chako
 
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete

Wewe na familia yako mtawafuata CCM kwa sababu unanufaika na udhaifu wa CCM na Kikwete... Kila la heri lakini kwa taarifa yako mwaka huu HATUDANGANYIKI
 
sina haja ya kujua lililosemwa ni kweli au si kweli ila nashindwa kujua motives za viongozi wa hivi vyama vya upinzani,hakika hiki ndcho kilikuwa kipindi muafaka cha kuungana na kuing'oa CCM lakini nashindwa kuelewa kwa nini hawatake advantage ya CCM kuelemewa na wao kustrike a killing blow

wacha tuazime maneno ya shakespeare: There is a tide in the affairs of men.
Which, taken at the flood, leads on to fortune;
sasa wacha wao wakae walumbane badala ya kuwa wamoja, kweli vita vya panzi furaha kwa kunguru
NCCR MAGEUZI ni chama cha CCM. Toka huko 1995 akiwepo Mrema zilikuwa ni ghiriba tu. Walikuwa wamepandikizwa makusudi kuonyesha upinzani feki. Waliokuwa viongozi wake karibu wote wamerudi nyumbani CCM. Lamwai, Nsanzugwanko, Nyakyoma, Bagenda, Wassira, Mrema (ingawa bado anazuga yuko TLP), n.k. Hata hawa akina Mbatia, Marando ni CCM. CHADEMA kumkaribisha Marando siyo busara. Matokeo yake yatajionyesha mbele ya safari.
 
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete

Hivi akili yako inaruhusu au??na mashaka juu ya umakini wako!
 
Back
Top Bottom