Kompa kuizika Amapiano ndani ya miezi miwili ijayo

Kompa kuizika Amapiano ndani ya miezi miwili ijayo

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kompa music vs Amapiano.

Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.

Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo.

View: https://youtu.be/nqxrYkKei0E?si=XHW_apgzevszbUFU

=======================•
Update: 02/2025

Bongo Flava + Kompa = Kompa Flava
IMG_4669.jpeg
IMG_4670.jpeg
 
Achana na kompa ya wabongo 😩
Skiza something is going on kwanza.
Jina limekaa tu kama tamthilia za kifilipino😂😂

Kuna kitu kinaitwa vulu vala😂 sijui vala vula oyaaa ikipigwa hio lazima utikisike

Just imagine tulikua kwenye family gathering mmoja kati ya watu wakuheshimika kwenye ukoo sura bandidu akaomba amapiano irudiwe😂

Says alot about this genre

Carefree, fun, energetic

Amapiano✅
 
Kuna muziki flani mtam mno watu bado hawajaujua. Afro house music..ni kama electro dance music flani ila inavionjo vya kiafrika. Ni mziki ulaya wanauelewa sana na baadhi yetu wachache. Na ndo mziki unamfanya Dj Black Coffee wa south Africa kuwa mwanamziki mwenye mkwanja mrefu baada ya Akon,yaani tajiri kuliko msanii yeyote wa Nigeria sio Davido wala Wizkid anaemfikia Black Coffee. Ni mziki mtam sana hauchuji na hauchoki kuuskia. Biti kwa sana maneno machache au hamna kabisa
Na huwezi skia zinapigwa na ma dj wetu sababu ni malofa sio wabunifu hawajui kutafuta music wao wanafuata mkumbo tu.
Simu yangu imejaa mixing ya hizo nyimbo tu, sio kama amapiano tayari ishachuja na saizi huwezi enjoy mixing yake ukidownload
 
Kompa music vs Amapiano.

Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.

Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo.

View: https://youtu.be/nqxrYkKei0E?si=XHW_apgzevszbUFU

Mambo ya visiwa vya comoro, ila kwa bongo amapiano haiwezi tolewa na hizo kitu .,,,biti laini sana
 
Mambo ya visiwa vya comoro, ila kwa bongo amapiano haiwezi tolewa na hizo kitu .,,,biti laini sana
Tutaichanganya hiyo Kompa na Amapiano.., ngoja tuone.., Kompa sio ya Comoro, ni Carribean na kwa Afrika ni pande za Angola na kidogo DRC
 
Back
Top Bottom