Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hata kwa comoro wanamziki wao hasa walio ufaransa wengi wana mapigo hayo.......shida hazina amsha amsha hizo nyimboTutaichanganya hiyo Kompa na Amapiano.., ngoja tuone.., Kompa sio ya Comoro, ni Carribean na kwa Afrika ni pande za Angola na kidogo DRC