FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hahahahah, Bongo piano imeshatuchosha, wacha tuweke grease tu 😂😂Kompa kiuno kiwe na grease ya kutosha
Amapiano utarusha hata kichwa
Ndio tulainishe viunoKompa kiuno kiwe na grease ya kutosha
Amapiano utarusha hata kichwa
Ndio tulainishe viuno
yafike mwisho, ni grease tu sasaNdio tulainishe viuno
😂😂😂Ah hapana
Amapiano itaendelea kuwepo
Hio kompa haitofika level za amapiano
Trust me
Unajua vurugu za amapiano wewe😂😂
Kwanza uko zako barabarani inakupita boda
Achana na kompa ya wabongo 😩hiyo kompa mbona mbaya hivyo?
mtatupoteza sisi gen z mziki utakufa
anaitwa kaysha aliyeimba?Achana na kompa ya wabongo 😩
Skiza something is going on kwanza.
Yah.anaitwa kaysha aliyeimba?
Jina limekaa tu kama tamthilia za kifilipino😂😂Achana na kompa ya wabongo 😩
Skiza something is going on kwanza.
Mambo ya visiwa vya comoro, ila kwa bongo amapiano haiwezi tolewa na hizo kitu .,,,biti laini sanaKompa music vs Amapiano.
Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.
Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo.
View: https://youtu.be/nqxrYkKei0E?si=XHW_apgzevszbUFU
Tutaichanganya hiyo Kompa na Amapiano.., ngoja tuone.., Kompa sio ya Comoro, ni Carribean na kwa Afrika ni pande za Angola na kidogo DRCMambo ya visiwa vya comoro, ila kwa bongo amapiano haiwezi tolewa na hizo kitu .,,,biti laini sana