Kompa kuizika Amapiano ndani ya miezi miwili ijayo

Tutaichanganya hiyo Kompa na Amapiano.., ngoja tuone.., Kompa sio ya Comoro, ni Carribean na kwa Afrika ni pande za Angola na kidogo DRC
Hata kwa comoro wanamziki wao hasa walio ufaransa wengi wana mapigo hayo.......shida hazina amsha amsha hizo nyimbo
 
Hata kwa comoro wanamziki wao hasa walio ufaransa wengi wana mapigo hayo.......shida hazina amsha amsha hizo nyimbo
Ndio tutachanganya Amapiano na Kompa tuone tutapata nini, subiri kwanza...
 
Kwanza uko zako barabarani inakupita boda

Mnike ya kwanza unaisikia hapa ya pili anaitikia ameshakata kona😂😂

Kompa inatakiwa ichezwe kwa procedure ila amapiano we hata ukitikisa shingo tu kitu kinajipa😂😂

Hajasikia kitu ya MNIKE na OJAPIANO huyu kijana.

Amapiano is here to stay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…