Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuweka picha ya gramu moja ya afghan nyeusi na rizla.
Unavituko Sana. Raila huko anaangukia pua.Bado kuweka picha ya gramu moja ya afghan nyeusi na rizla.
Tusubiri.Unavituko Sana. Raila huko anaangukia pua.
Hakuna mtu kutembea uchi hapa ama kufa.
Safi Sana kwa kazi nzuri ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM inayoendelea kufanywa na viongozi wetu Hawa wa kitaifa, wakati CCM ikifanya kazi hii njema ya kujiweka karibu na wananchi Kuna watu watakuwa kushangaa pale CCM itakapozoa kila kitu chaguzi zijazo, siasa Ni sayansi hivyo huwezi ukafanya janja janja kupata ushindi na Imani ya wananchi
Kakisikia darala la Busisi Huwa kanalia. Hakataki kabisa kuona miradi ya A5 ikikamilishwaHako kadada kana stress balaa