Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

Kwani ulitakaje sasa?
1472230604291-1753032478.jpg
aMjOMOM_700b.jpg
 
Safi Sana kwa kazi nzuri ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM inayoendelea kufanywa na viongozi wetu Hawa wa kitaifa, wakati CCM ikifanya kazi hii njema ya kujiweka karibu na wananchi Kuna watu watakuwa kushangaa pale CCM itakapozoa kila kitu chaguzi zijazo, siasa Ni sayansi hivyo huwezi ukafanya janja janja kupata ushindi na Imani ya wananchi

Wananchi wanachagua kiongozi sio daraja. Daraja ni wajibu Serekali inayokusanya kodi. Inapokuja suala la kuchaguliww CCM haina mvuto ndio maana inategemea mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Back
Top Bottom