Safi Sana kwa kazi nzuri ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM inayoendelea kufanywa na viongozi wetu Hawa wa kitaifa, wakati CCM ikifanya kazi hii njema ya kujiweka karibu na wananchi Kuna watu watakuwa kushangaa pale CCM itakapozoa kila kitu chaguzi zijazo, siasa Ni sayansi hivyo huwezi ukafanya janja janja kupata ushindi na Imani ya wananchi