Komredi Mizengo Pinda yuko wapi?

Komredi Mizengo Pinda yuko wapi?

Nchi hii bana, mnataka kila mtu awe anapayuka tu.
Akisema na mpigwe tu mtaanza kulia
Nchi hii sisi watu wa ajabu kweli,tunataka muda wote tuwaone
Viongozi wetu,hsta waliyostssfu
Majukwani,kwenye ma TV radio wakipiga kelele tu

Ova
 
Nchi hii sisi watu wa ajabu kweli,tunataka muda wote tuwaone
Viongozi wetu,hsta waliyostssfu
Majukwani,kwenye ma TV radio wakipiga

Duuh umenichanganya mkuu.

Hapo kwenye ADC na PSU.

Kwahiyo hata polisi anaweza kuwa ADC?
Sheria na na taratibu ndiyo hutoa uwezo huo.
Wakati fulani wa Nyerere ADC alikua ni Polisi hadi ilipokuja kubadilishwa na kuanza kutumia JWTZ.
 
Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.
Ahsante sana Mzee kwa elimu hii.
 
Back
Top Bottom